Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta:

"We played really well and created so many attempts on goal in the first half, but we didn’t score. We came out in the second half really convincing, we scored and then it was a matter of killing the game. Overall I think we should be happy with the result & performance."

Arteta on Saka and Smith Rowe:

"I’m really happy that we have players who have come [through], taken responsibility and managed to win games for us which is really impressive at that age."
 
Messi ana manjonjo na ni winger sawa sawa na Mane, Salah, Sterling na Mahrez.

Hao wote wanahold mipira lakini timu ikiwa kwenye move kutafuta goli hua hawaizuii timu kwenda mbele kwa kutaka kuonyesha manjonjo badala yake atatafuta pa kuupenyeza mpira. Ili move iendelee.

Mfano Maximin akiwa nje ya 18 angalia mwisho wa manjonjo yake ni nini? Kama siyo kupokonywa mpira basi ni kupiga back pass na potential threat inakua contained.

Lakini Foden, Saka, Salah, Mane, Messi wakiwa nje ya 18 wakifanya manjonjo unatarajia itoke assisst au ashuti. Akinyang'anywa unajua kabisa huyu hii siyo kawaida yake, tofauti na Maximin akipokonywa mpira unasema tu 'Ah ndiyo alivyo huyo' Hapo ndipo naona Maximin hapana, ana skills lakini hazitumii kuinufaisha timu.
Kwa hawa wote uliowataja nadhani Maximin tumfananishe na Saka tu, hao wengine wote ni inside forwards na wanacheza sana kwenye half spaces. Saka & Maximin profile zinafanana at least cuz wote wanacheza kwenye touchline, the difference btn them ni tactical knowledge kutokana na walimu walionao.

Maximin under steve Bruce, Newcastle ilikuwa haiwezi kuplay out inabidi Maximin apewe extra roles Newcastle wakiwa wanabuild play mostly anashuka kwenye build up phases kuitoa timu kwenye 1st&2nd phases at least timu iguse box la mpinzani anayepress high line, Usioverlook hii kitu Bros some players are good than others.

Ishu ya final ball wazee hata Bukayo Saka / Martinelli/ Ø wote wana matatizo hayo, sababu kubwa ni Experience, kwenye Soka Experience inakuja haraka ukicompete kwenye top flight vs giant teams ( UCL) . Ngoja tumpe matazamio
 
Arsenal’s next six fixtures:

Wolves H
Watford A
Leicester H
Liverpool H
Aston Villa A
Crystal Palace A
 
Brentford are so good tactically, Thomas Frank mtu sana, leo nilijua hii draw lakini ukimuona Monster ESR unajua nani ataamua hii game.
 
Smith Rowe reminds me of Wayne Rooney, alikuwa hivihivi ruthless yaani akiwa uwanjani hata ubane vipi atakuua tu.
 
Brentford are so good tactically, Thomas Frank mtu sana, leo nilijua hii draw lakini ukimuona Monster ESR unajua nani ataamua hii game.
Rowe anaonesha ni namna gani mazao ya wenger yalivyo, kuna utofauti mkubwa sana na martinel, rowe akipokea mpira huwa hatulii nao, ni anatafuta half space ,anapenda kuwa third runner,

angalia goli la leo, angepoteza muda kidogo tu wa kukaa na mpira ,basi angekosa space , lkn alipopokea pass, hapo hapo aka drive ndani na kufunga
 
Rowe anaonesha ni namna gani mazao ya wenger yalivyo, kuna utofauti mkubwa sana na martinel, rowe akipokea mpira huwa hatulii nao, ni anatafuta half space ,anapenda kuwa third runner,

angalia goli la leo, angepoteza muda kidogo tu wa kukaa na mpira ,basi angekosa space , lkn alipopokea pass, hapo hapo aka drive ndani na kufunga
Kabisa yan sekunde moja kabla hajapokea mpira anajua wapi anaelekea hana muda wa kujishauri. Rowe
 
Back
Top Bottom