Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Upande wa pili Shaktar Donetsk wanaongoza.........na kuna kila dalili wanaweza kudondosha mbuyu!
 
Ouch!!!!!!!! Golini kaenda Amunia.....This is a Blow 4 us.....I personally dont trust this Guy......May God help him to have a Good game between the sticks.....
 
alafu mbona mnachezewa nusu uwanja ni kwa nini hivi??
 
Hii italian style inaboa sana ila ndo inaweza kuwa dawa ya barcelona
 
Bado hamstring ya Cesc na goti na RVP.

Duh!!!!!! manda kweli unatuombea Njaa....kwani ni EPL hii?????? haya bana.........ila ..............................Halimpati mwewe......
 
Wilshere anataka kucheza na Alves atakula mbata dogo ohhh....a@lves mwenyewe chizi
 
Simpendi ALVES.....i hate him....yaani hata lilipokuja kipindi cha world cup nilichukizwa nalo sana....katili mno hili jamaa!!!
 
Mtachonga sana leo..........Sie tupo tayari kwa lolote,fita ni fita tu muraa ushinde ushindwe ni fita tu muraa...........Aluminium kapewa nafasi ya kuprove ubora wake,ashindwe yeye sasa
 
Back
Top Bottom