Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nina hasira
Tumecheza vizuri sana
Watakaolalamikia wachezaji au chochote ni atakuwa msenge.
Mwisho tumepata nini?na Top 4 tutatoka tu mechi rahisi kama hii tumeipoteza na ntakukumbusha hii game itatucost kwenye mbio za Top 4 problem ya Arsenal kwenye big games ni lack of concentration and discipline na hata Castr na Mysterio wanaliongeleaga sana hili kufungwa tumefungwa na Top 4 ishakuwa mtihani next game vs Conte Manchester City ameshinda sababu hizi hizi game tulishaishinda kabisa ghafla penalty mara Red card hata first game Red card ilitolewa
 
One of the best first half I have seen against City by any team.. Amazing energy amazing dedication.. Without Auba we are so much more energetic and positive in attack..
[emoji16][emoji16][emoji119][emoji16][emoji16][emoji119][emoji16][emoji16] wat a comback mlishaanza kuongea kingreza kama walev
 
Are you serious
Sasa tumefungwa au hatujafungwa?tatizo la Arsenal ni lack of concentration and discipline katika big games na hili tatizo halijatatuliwa kamwe Manchester City leo kapata ushindi wa kishenzi kabisa vs Arsenal sema hata refarii nae alaaniwe mechi zijazo asichezeshe Odeegard kanyimwa penalty kabisa
 
lleo nlkua nataka mnizuilie kipara lakin nikifkiria zile 5 mnapigwagwa nakata tamaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16]
sijawah amini ushuzi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mpira bila akili you can't win...xhaka yule ni mwili tu akili hana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Xhaka ana mwili mkubwa kumzidi bernado Silva ,lakin akili ya bernado ni machine [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Arsenal ni timu ndogo Sana iliyojaa watumia nguvu bila akili[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Leo wachezaji wote wa Man city walibeti 1-1 hata hilo goli la pili lilivyofungwa ni kama vile wamekasirika kuchaniwa mkeka wao.
Arsenal mpira mliopiga kipindi cha kwanza laiti mechi zote mngekua mnacheza vile sio primear league tu hata UEFA kombe mngebeba ila tatizo lenu mna ufala mwingi sana.
 
Mwisho tumepata nini?na Top 4 tutatoka tu mechi rahisi kama hii tumeipoteza na ntakukumbusha hii game itatucost kwenye mbio za Top 4 problem ya Arsenal kwenye big games ni lack of concentration and discipline na hata Castr na Mysterio wanaliongeleaga sana hili kufungwa tumefungwa na Top 4 ishakuwa mtihani next game vs Conte Manchester City ameshinda sababu hizi hizi game tulishaishinda kabisa ghafla penalty mara Red card hata first game Red card ilitolewa
we mzee unashida gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom