Lakini kwa Arsenal tu.. Lacazette kachezewa foul lakini Yellow imeenda kwa Saka aliyelalamikaKwahiyo sasahivi kila faulo ni card? hiyo card sijaelewa kabisa.



Shida nn?Refa ms*nge sana hawa was*nge uwanja washa geuza godoro.
Refa kazingua sana kwenye utoaji wa kadi leo.Lakini kwa Arsenal tu.. Lacazette kachezewa foul lakini Yellow imeenda kwa Saka aliyelalamika
Ndio maana World Cup 2018 hawakuwa na refa pamoja na kuwa na League kubwa
FunnyWith B.Silva dropping deep we will be forced to sit off, pressing high line against City is disaster for this inexperienced side, do you think Gabriel can be able to hold high line throughout 90minutes ?, No mate, City will destroy us thru transition.
Bila ile card ya nyekundu na kuwatoa Arsenal mchezoni kwa kadi za njano za kijinga, hii game ilikuwa ngumu sana kwake.Mpaka dakika ya 86 shot on target ya City ilikua ni penati
Wachezaji wa City anawaelekeza tuRefa kazingua sana kwenye utoaji wa kadi leo.


Ndio nimetoka kusema hapa..Lazima Arsenal mfungwe huu muda wa nyongeza

