Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

City kushinda ni matokeo yanayotarajiwa.

Mid yao ukimuacha Fernandinho mpaka forward wote wanaweza kuscore, wana wingers wazoefu katika kudribble, kucut in na kuscore.

Most importantly wana uwezo mkubwa kucheza in a fluid movement kwa pamoja. So hata tukijiuliza mbona Foxes au Wolves wanaweza kuscore the reason ni kwamba hawa wawili wanacheza kama unit for years sisi ndiyo kwanza tunaanza.
Tusiwe pessimistic kiasi cha kusema "City kushinda leo ni matokeo yanayotarajiwa". Ni kweli wapo vizuri, lakini mbona Palace na Spurs waliwapiga?

Naamini matokeo mazuri leo yatafanya hata top three iwe reality.
 
Kuna wakati natamani MUSTACHI angekuwa na vision na matamanio yetu. Ila yeye as long as mwisho wa mwaka gawio lake liko salama yanayojili kiwanjani na hasa kama team haishuki daraja bado ana furaha na uqekezaji wake.

Siku MUSTACHI akiiacha team development ya kweli tutaiona. Vinginevyo with him our investment tuendelee kufunga mkanda
Lakini msimu huu gunners wametumia gharama kubwa sana katika usajili.
 
Arsenal kucompete na timu km City inahitaji nafasi ya Xhaka(kwenye 433) aingie mtu kama Houssem Aouar, nafasi ya Laca aingie mtu kama Vlahovic/ DCL/ Toney/Isak/ Jonathan David/ Watkins hata Tammy Abraham, na pia Tomiyasu awe fit sio huyu Cedrick Soares + experience kwa young guns.(ESR ,Martinelli & Saka)

Vinginevyo Arteta achange system, maana Arsenal tunacheza kama City, bila profile itahitaji good luck kushinda hizi mechi.
 
Lakini msimu huu gunners wametumia gharama kubwa sana katika usajili.
Kwa sababu ya Tishio la Maandamano yetu na sio kama mwamba ametoa akiwa anafurahia. Kwanza yanayohusiana na football hayamuingii Kichwani, uwekezaji wake ni kibiashara bila kurisk kupump capital kwenye uwekezaji wa awali ambao anauhakika wa return minimal kila mwaka.

Kwanini urisk uwekezaji kwako kwa lupump more capital wakati huna uhakika na kumaximise return. Malengo yake sio kutufirahisha mshabiki bali kulinda uwekezaji wake tu.

Alishatuambia hakununua team ili kushinda mataji, ukitembea na hii nondo mfukoni hutapata tabu kwa haya yanayotutokea na Arsenal yetu.

Team yenye kiu na mataji Arteta alikuwa just an interim Coach hadi msimu uishe but kwa sababu ambitions za Mwenye team ni kushiriki EPL no wonder ameendelea kuoewa jukumu iki aendelee kujifunza. Wenye ambitions walishaachana kwa Mutual agreement zamani sana
 
Computerarsenal, Eroni na mkopoka naonaga ni mtu mmoja, huyu jamaa anasumbua na akaunti mia

kwa hiyo unajiquote tu mzee baba kwa kuswitch ID
 
Arsenal kucompete na timu km City inahitaji nafasi ya Xhaka(kwenye 433) aingie mtu kama Houssem Aouar, nafasi ya Laca aingie mtu kama Vlahovic/ DCL/ Toney/Isak/ Jonathan David/ Watkins hata Tammy Abraham, na pia Tomiyasu awe fit sio huyu Cedrick Soares + experience kwa young guns.(ESR ,Martinelli & Saka)

Vinginevyo Arteta achange system, maana Arsenal tunacheza kama City, bila profile itahitaji good luck kushinda hizi mechi.
Today am less optimistic not because of Arteta's absence but the magnitude of whom we are facing,win draw or lose am a gunner forever
 
Computerarsenal, Eroni na mkopoka naonaga ni mtu mmoja, huyu jamaa anasumbua na akaunti mia

kwa hiyo unajiquote tu mzee baba kwa kuswitch ID
Mzee Husia zako zinakufanya utende zambi ya Hukumu.

Anyway sina kifua cha kukupinga, endela kuamini unayoyaamini.

Hiyo adhabu multiple ID ili nipate nini hasa kwa kufanya hivyo.

Wqtu wadhaifu humshambulia mtu na watu wakomavi hushambulia hoja.
 
Bernardo Silva as a false 9, lakini ni typical attacking midfielder, anadrop paka kwenye build up phase kucreate overload.

With B.silva dropping deep, City wanakuwa na an extra man kwenye build up (Numerical Superiority) + Ikay Gundogan a complete player can shine in every facets of play, from the build up to the final third, Arsenal have Compact press but City with Silva & Gundogan must beat Arsenal's 442 compact press.

B. Silva a press resistant midfielder, either Gabriel / White kumtrack still City can destroy us thru transition.

Ni kwa namna gani we can keep the ball away from City?, Swali ambalo hata Mikel Arteta hawezi kukujibu.
We need to play our best football if we want to defeat this Man City side. Man City is a strong side so we can't afford any mistakes or turn up late in the match. Right from minute one we need to press high and keep that intensity. If we sit back Man City will definitely score 2-3 goals

That's all
 
Tusiwe pessimistic kiasi cha kusema "City kushinda leo ni matokeo yanayotarajiwa". Ni kweli wapo vizuri, lakini mbona Palace na Spurs waliwapiga?

Naamini matokeo mazuri leo yatafanya hata top three iwe reality.
In fact tukifungwa leo na spurs akashinda hata namba nne itakua mashakani.

Naona shida yetu katika kushinda ni kukosa mtu ambaye atakua macho kuangalia runs za forward. thru balls na purposive movements ndiyo misingi ya leo, wakae na mpira ila Arsenal tukiupata ni kulifuata goli
 
Our team must avoid the following and will have a chance: red card, penalty and conceding in less than 30 minutes. If Arsenal survives the first half and does not throw defensive organization to the wind then there is a chance but it is Arsenal
 
We need to play our best football if we want to defeat this Man City side. Man City is a strong side so we can't afford any mistakes or turn up late in the match. Right from minute one we need to press high and keep that intensity. If we sit back Man City will definitely score 2-3 goals

That's all
With B.Silva dropping deep we will be forced to sit off, pressing high line against City is disaster for this inexperienced side, do you think Gabriel can be able to hold high line throughout 90minutes ?, No mate, City will destroy us thru transition.
 
In fact tukifungwa leo na spurs akashinda hata namba nne itakua mashakani.

Naona shida yetu katika kushinda ni kukosa mtu ambaye atakua macho kuangalia runs za forward. thru balls na purposive movements ndiyo misingi ya leo, wakae na mpira ila Arsenal tukiupata ni kulifuata goli
Spurs tutamalizana nae wenyewe kuamua nani awe pale juu kwa ajili ya CL.

Kuwa shinda hawa big dudes inatakiwa kuwa ni mipango ya whole management na inakuwa ikiwa tayari kubeba ubingwa. Na inakuwa sehemu ya kipimo cha mwalimu. Ila kwa sasa kuwafunga itokee tu ninsehemu ya matokeo ya mchezo ila sio mipango iliyoratibiwa.

Tutaanza kuwafunga management itakapoamua sasa tunataka kunyanyua EPL na kurudi kuikonga ulaya kwenye CL na sio vinginevyo
 
We are losing hope of beating a city side due to the previous results against them which is why everyone is saying win or lose. Well to be frank city is a difficult side to face now but the only way to beat them is to attack and not fvking defend for crying out loud☹️☹️☹️☹️
 
In fact tukifungwa leo na spurs akashinda hata namba nne itakua mashakani.

Naona shida yetu katika kushinda ni kukosa mtu ambaye atakua macho kuangalia runs za forward. thru balls na purposive movements ndiyo misingi ya leo, wakae na mpira ila Arsenal tukiupata ni kulifuata goli
Binafsi sio tactical analyst lakini naona kabisa Xhaka akiflop kama anavyofanya mechi kubwa.

Sioni Odergard akichezesha timu, he's not strong enough against timu zinazohold mpira.

Wasiwasi wangu upo kwenye midfield.
 
We are losing hope of beating a city side due to the previous results against them which is why everyone is saying win or lose. Well to be frank city is a difficult side to face now but the only way to beat them is to attack and not fvking defend for crying out loud
unakikos gan cha kufanya attack mbele ya city tatizo awa watoto unaowategemea kwenye big match wanakua mavimavi2 amna lolote
 
We are losing hope of beating a city side due to the previous results against them which is why everyone is saying win or lose. Well to be frank city is a difficult side to face now but the only way to beat them is to attack and not fvking defend for crying out loud
Naiombea Arsenal ushindi, ndio maana kwangu naona Transition moments ndio ufunguo kwenye hii mechi

Mungu ibariki Arsenal..
Mungu mbariki Emile Smith Rowe kwenye Transition..

Hata droo itapendeza, amen.
 
Back
Top Bottom