[emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji39][emoji39][emoji39][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] furaha isiodumu sasa iv mtaanza taja viungoMambo ya kishenzi
Nilivyomuona kwenye First 11 nikasema Arsenal wanalo leoNilisema mapema madness za Xhaka
Mmeonewa?Mamamamae EPL inaanza kukosa mvuto hata Marefarii wana Bet miaka 5 ijayo EPL itageuka kuwa kama Seria A au La liga
Penalt halaliMamamamae EPL inaanza kukosa mvuto hata Marefarii wana Bet miaka 5 ijayo EPL itageuka kuwa kama Seria A au La liga
Tutazidi kumtetea tuuHaya wale wa kumtetea Xhaka nawasubiria mechi ikiisha salama
Yes penalty ni halali... Hata ile faulo ambayo imepelekea red ni ya kujitakia.Penalt halali