Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi mshajua JINSI ya kutufunga ,au mmesubili jumamos mkishapigwa goli 5 ndio akili itakuja kuwa kaa sawa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kikosi cha Jana man city kilichokuwa bench ...huku wakisubili arsenal

Rodrigo
Mahrez
Sterling
Gundogun
Zincheko
Walker
Stone
.......achana na wale watoto kina palmer na keeper steffan ...

Kumbuka bernado Silva ,KDB ,dias ,cancelo hao ni regular starter ....

Mfumo ni ule ule 4-3-3 ,hapo ni kwenye karatasi lakin tukiwa dimban tunacheza mfumo ambao hata shetani mwenyewe hajawahi kujua [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Jumamos

Arsenal 0-3 man city ....

Over ....!
 
We kinabo nina uhakika haujaangalia mechi umeamka na kugoogle matokeo.

Walker na Rodri wanakuaje benchi wakati wana covid? Kinega
 
Matokeo tunayajua, labda itokee tukapindue Meza. Kwa sasa team ikivyo ikaze kupiga hawa walio chini yetu walau tutoboe Top 4. Hawa Miamba bado sana hadi tufike mahala tuweze kupapatuana na of
Mechi tulizopoteza nyingi tulianza na mentality ya kujilinda, first round na City tukiwa na mentality hiyo hiyo Xhaka akala red. Mpaka leo tumeshajua kwamba kumbe hatutakiwi kupaki basi, tutoke nje ya box tukapambane.

Shida ya hii ni mid yetu kushindwa kua daraja na vigugumizi vya miguu, against timu iliyo on form na ina hamu na ubingwa ukipata kigugumizi mara nne wanaweza wakascore mara moja au mara nne zote.
 
We kinabo nina uhakika haujaangalia mechi umeamka na kugoogle matokeo.

Walker na Rodri wanakuaje benchi wakati wana covid? Kinega
Toka mwaka 2017 hakuna game ya man city ambayo sikuwahi kuaangalia ,hata kama wakicheza saa sita usiku ..... Kwanza unastress ,uko na hasira za kijinga ,siwezi bishana na kilaza empty headed kama wewe [emoji28][emoji28]Kama unaweza kututoa pale juu njoo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Jibu swali watu wana covid wanakuaje benchi?
 
Toka mwaka 2017 hakuna game ya man city ambayo sikuwahi kuaangalia ,hata kama wakicheza saa sita usiku ..... Kwanza unastress ,uko na hasira za kijinga ,siwezi bishana na kilaza empty headed kama wewe [emoji28][emoji28]Kama unaweza kututoa pale juu njoo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
mbona hujibu swali

maneno meeeeeeengii
 
I can't argue with low IQ ,ni matumizi mabaya ya akili ,...

Unauhakika sikuangalia game ya Jana kiazi wewe ?
Hapa wewe ndio unaonekana kiazi chuplichupli....maana unabwekabweka kama changudoa uliyetorokwa na mteja,au umetumiwa pesa MPESA alafu wahuni wakairudisha juukwaju[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
mbona hujibu swali

maneno meeeeeeengii
Hao ni wachezaji ambao hawakucheza Jana probably watacheza jumamos ...that was my point ...kubishana na broken & stressed people wa arsenal muda wote wako na hasira kama watu wa dar ....
 
Hapa wewe ndio unaonekana kiazi chuplichupli....maana unabwekabweka kama changudoa uliyetorokwa na mteja,au umetumiwa pesa MPESA alafu wahuni wakairudisha juukwaju[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Pole Sana ,.....

Kuwa shabiki wa arsenal sio mchezo ,lazima upasuliwe yai ukuni upite kama wewe [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom