computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Hivi wapi hauelewi.
Nimeandika hivi:
ARSENAL TULIKUA TUKIDROP POINTS KWA HAO HAO AMBAO SIYO BIG TEAMS.
SASA HIVI TUNA UHAKIKA WA KUSHINDA AGAINST HAO MID TABLE.
TIMU YAKO PSG IMEDROP POINTS KWA CITY.
Hata kama hautaki tuongelee past ukaniambia tuongelee wakati huu sasa hivi bado takwimu zinambeba Arteta.
- Arsenal ni ya 3 kwa clean sheets.
- Iko ndani ya top 10 kwa most chances created.
- Iko ndani ya top 10 kwa timu iliyoshinda magoli mengi.
- Ni ya tatu kwa kushinda nyumbani.
- Arsenal ni ya 4 kwenye msimamo, ipo Carabao na ipo FA.
- Anahitaji kushinda games mbili ili kujaribu kupambania nafasi ya 3.
- Ipo top 10 kwa timu zilizoconcede magoli machache.
- Ipo top 10 katika timu zilizofanya clearance nyingi.
- Ipo top 10 kwa timu zilizowin pasi za mpinzani in our own half.
Hivi vitu ndiyo vitasababisha uendelee kumuona sana Arteta akiwa kocha wa Arsenal, wanaomlipa mshahara hawaangalii hizo stori za city au big teams.
Go figure.





ndio maana Arsenal kwa sasa haina utofauti na kina West Ham au Leicester kama unamanisha kuwa mabosi wakiangalia takwimu ulizozitaja licha akipata points 0 katika Top 3 (home and away games) hawawezi kufanya maamuzi magumu ndio maana timu ikiifunga Norwich Leeds fans wachache wanajiona kombe la EPL wamelibeba motherfanta Kroenke anapenda sana fans kama nyie msimu huu tumefungwa na Chelsea Liverpool Manchester City Manchester United ambao ni top wenzetu then bado unasema ni kawaida inawezekana kuna nati kichwani kwako imelegea inabidi ikazweTarehe 1 Arsenal lazima apate 1 or 3 points otherwise utakuwa unajifariji kwa ujinga tu let's wait for the biggest game on 1st January


Xhaka atakichafua pale kati hadi unashangaa