Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu we una kasumba ya ubishi tu na mgumu sana kuelewa, jamaa anajitahidi sana kukuelewesha ila tatizo lako ni kwamba umejiandaa tu kubisha ata afanye nini, nimewafatilia muda mrefu kwenye mada yenu ila nimegundua kuwa huna hoja na huna hoja kwa sababu umeamua kubisha tu

Amesema tangu mwaka 2018 Man u alikuwa hajaifunga Arsenal hadi walipoifunga msimu huu, Cha ajabu ubaibuka na eti December 2 Old trafford Man aliifunga Arsenal, ulikuwa umelewa? Ulikuwa umelala? Sasa hadi hapo kati yenu nani alikuwa kalewa? Hiyo mechi ya Dec 2 ilikuwa ni msimu upi? Ipi ni tofauti na alivosema msimu huu ndio Man u kamfunga Arsenal tangu 2018

unataka Arsenal aifunge au atoe draw na Man City ndio uprove kwamba team imeimalika seriously? Kwa aina ya kikosi Cha city na kocha wao ulinganishe na kikosi cha Arsenal na Kocha wao uje kwenye quality, consistency, chemistry na age ya wachezaji wa hizi team mbili we unaona ni kipimo sawa?

Westham kamfunga Liverpool, Totenham na Chelsea je kwahiyo westham ndio wameprove kwako ni team bora? Leo iko wapi kwenye EPL table? Je Arsenal alieifunga westham yeye ni bora kuliko Liverpool na Chelsea waliofungwa na westham? Amepata faida gani kumfunga Liverpool na yeye kufungwa na team kama Southmptom,Wolves na Brentford

Mpira hauko hivo mzee acha ubishi wa kitoto na ujifunze kujenga hoja, Arsenal anaweza kumfunga Man City either kwa mbinu au bahati ila bado ukweli utabaki pale pale kuwa bado ni team dhaifu dhidi ya giants kwa sasa, ila kufika huko inabidi uanze kuzipiga kwanza hizi mid teams na ndio anachokifanya Arsenal kwa sasa
Hawezi kukuelewa huyo na lazima atakubishia tu!.. Huyo ni mashine ya mabishano
 
muna muchezaji anaitwa lokonga halafu munataka muwe title contender??! ebwana wee em kuweni siriyas na huu mchezo.
 
muna muchezaji anaitwa lokonga halafu munataka muwe title contender??! ebwana wee em kuweni siriyas na huu mchezo.
Hiki ni Kiwango cha chini kqbisa cha uwezo wa Kutumia akili kukusaidia Kuoambanua Mambo. Jina lina mahusiano gani na Ubingwa!!

Kwa taarifa yako Lukonga is far better kuliko Mactominey wako.

Hebu kuwa na heshima Kidogo.
 
muna muchezaji anaitwa lokonga halafu munataka muwe title contender??! ebwana wee em kuweni siriyas na huu mchezo.
Chelsea kacheza games 19.

Arsenal kacheza games 19.

Chelsea kashinda games 12.

Arsenal kashinda games 11.

Hakuna namna wewe ujione title contender kwa rekodi hiyo halafu Arsenal asijione title contender kinega wewe.
 
Acheni Masikhara wakubwa. Xhaka ni chuma ni Mtu. Mnaojaribu kumpuuza nafikiri mwana hamumsomi tu. Ameumia tu kidogo wote tukahaha humu kwa kukosekana kwake ni nani hakuliona pengo lake? Arteta ajua alipoamua kumshawishi kubaki asee au mbona baada ya kupona xhaka lokonga akawa hapati namba Mbele ya xhaka. Wakuu xhaka ni mchezaji akiamua kukichafua na pia ni mpambanaji
Mkuu,

Mimi ni mpenzi wa Midfielders mguu wa shingo mguu wa roho.

Xhaka amezidi kiasi lakini kwenye timu you need peopleo Xhaka's calibre
 
Kwa Namna ambavyo Arsenal waliona wateneze Project mpya ya Vijana, Hata Top 4 ni Bonus kwa Msimu wa 2021-2022 sidhani kama ni jambo walidhani litakuja "OVERNIGHT"

Kuzifunga hizo called top 3, itakuja, Naona unakuwa Impatient computerarsenal

Arsenal kwa hapa walipo kwanza na walikotoka toka wenger aondoke THEY LOOK PROMISING

ambaye hakubali basi ni Hater
Not only a hater, He/she is a stupid HATER
 
Mkuu we una kasumba ya ubishi tu na mgumu sana kuelewa, jamaa anajitahidi sana kukuelewesha ila tatizo lako ni kwamba umejiandaa tu kubisha ata afanye nini, nimewafatilia muda mrefu kwenye mada yenu ila nimegundua kuwa huna hoja na huna hoja kwa sababu umeamua kubisha tu

Amesema tangu mwaka 2018 Man u alikuwa hajaifunga Arsenal hadi walipoifunga msimu huu, Cha ajabu ubaibuka na eti December 2 Old trafford Man aliifunga Arsenal, ulikuwa umelewa? Ulikuwa umelala? Sasa hadi hapo kati yenu nani alikuwa kalewa? Hiyo mechi ya Dec 2 ilikuwa ni msimu upi? Ipi ni tofauti na alivosema msimu huu ndio Man u kamfunga Arsenal tangu 2018

unataka Arsenal aifunge au atoe draw na Man City ndio uprove kwamba team imeimalika seriously? Kwa aina ya kikosi Cha city na kocha wao ulinganishe na kikosi cha Arsenal na Kocha wao uje kwenye quality, consistency, chemistry na age ya wachezaji wa hizi team mbili we unaona ni kipimo sawa?

Westham kamfunga Liverpool, Totenham na Chelsea je kwahiyo westham ndio wameprove kwako ni team bora? Leo iko wapi kwenye EPL table? Je Arsenal alieifunga westham yeye ni bora kuliko Liverpool na Chelsea waliofungwa na westham? Amepata faida gani kumfunga Liverpool na yeye kufungwa na team kama Southmptom,Wolves na Brentford

Mpira hauko hivo mzee acha ubishi wa kitoto na ujifunze kujenga hoja, Arsenal anaweza kumfunga Man City either kwa mbinu au bahati ila bado ukweli utabaki pale pale kuwa bado ni team dhaifu dhidi ya giants kwa sasa, ila kufika huko inabidi uanze kuzipiga kwanza hizi mid teams na ndio anachokifanya Arsenal kwa sasa
Nyie mnadhani mnajadiliana na mtu mwenye uelewa wa mpira??

Nimemuachia Castr Mkunkwa wake apambane nao mwenyewe.

😀😀
 
Unapoteza nguvu zako bure!.. Argument za huyu ndugu ni za ajabu!.. Ni Kama vile ana tatizo fulani linamsumbua, ni mbishi, hataki kushindwa, yaani haeleweki kanisa.. Arsenal tukiflop anakuwa psg, akiona tunaperform fresh anaanza kujisogeza arsenal... Hata umri wake anaonekana bado chalii mdogo kabisa, kama sio advance basi atakuwa first year au second year chuo Fulani... Bado ana utoto mwingi.. . Sie wengine hapa ni sehemu ya elimu pia maana unakuta kuna kitu hukifahamu vizuri lakini wenzako wanajua zaidi yako basi unatulia na kuingiza mambo kichwani, sio kutaka kushinda kila argument japo unaona kabisa wenzako wana hoja
Naamini kuanzia Leo Castr Hatopoteza tena muda wake na nguvu zake ovyo.

Mimi nilishamuacha huyo jamaa. Ngojeni City amfunge Arsenal atakuja na vi-screenshoot vyake uchwara hapa ili kuja kuwananga kwamba yeye alisema na yeye ndio anajua sana mpira.

Atakuja na "fucking truth" zake kibao 😁😁😁

Arteta atakuwa sio kocha na itabidi afukuzwe siku hiyohiyo. Castr akimwambia basi omba wewe ukocha inakuwa naongea.
 
Hiki ni Kiwango cha chini kqbisa cha uwezo wa Kutumia akili kukusaidia Kuoambanua Mambo. Jina lina mahusiano gani na Ubingwa!!

Kwa taarifa yako Lukonga is far better kuliko Mactominey wako.

Hebu kuwa na heshima Kidogo.
Hahahahahaahahahahah

Huyo kichaa wa Chugga amekuja kujifurahisha tu huku hahahaahhaahahah. Hapo usikute kashapiga chang'aa zake za kutosha
 
Nyie mnadhani mnajadiliana na mtu mwenye uelewa wa mpira??

Nimemuachia Castr Mkunkwa wake apambane nao mwenyewe.

😀😀
Ingekua siku ya kwanza ndiyo jana nakutana naye ningeassume kalewa ila kwakua kila siku yupo hivi basi nashika nilichowahi kusema kwamba jamaa anapenda timu ila kwenye mpira he isn't that good.

Yet anataka tumia limited knowledge kumuelewesha kila mtu wenzake kwa kujua hatujui vyote tunakubali kusikiliza wengine na kuona wapi tunashindwa kuelewana.

Habari ni tofauti mbele ya jamaa.
 
So it's okay kwa wewe kufuata sources za udaku ... Eti aliyetamka

By the way, mimi nanunua screenshort za Arsenal akiwa juu ya Man Utd kwenye table ya ligi

Nina ka 50K hapa
Bro nakupa ofa.

Kwa viporo viwili vilivyobaki tuassume vyote umeweza kushinda halafu screenshot table tuone kama utakua juu ya Arsenal.
 
MPIRA SIO BLAH-BLAH-BLAH KAMA ULIVYOANDIKA HAPA. MPIRA NI UWEKEZAJI. TUMIA PESA KUBWA CHUKUA WACHEZAJI WENYE KIWANGO.. ACHANA NA HAO WATOTO, ROWE,TIERNEY,SAKA, ETI NDIO MASTAA WENU. SERIOUSLY!!!!!
Sista mpaka saa hii Rowe ana magoli mengi kuliko Ronaldo.
 
Saint Maximin is a big deal, sijui kama Newcastle watamuuza ila huyu jamaa atakuwa mkubwa sana akienda timu kubwa, Newcastle are reliant on him to get up the pitch, Bring ASM to Arsenal as a Pepe replacement.
 
nilishasema huko nyuma kwamba hiki kifaa kinatufaa sana. Ila sasa kwa jinsi anavyocheza, mara nyingi he is prone to injuries.
 
iv tukifungwa na big six zote then ukabeba ubigwa hapo kuna tatizo ?
Sio komedi thats the fuckin truth TOP 3 games tuna Manchester City and Liverpool home and Chelsea away we need to score and gets the results kama tutapigwa in those 3 matches yatakuwa ni yale yale ya miaka 10 consecutive for example Arsenal conceded 4 goals against Liverpool and 3 goals against Manchester United juzi juzi hapa then unaona ni comedy ?that's nonsense we need to get 3 or 1 points against those bigger teams bro watu wote duniani wanasubiria that game unafikiri Arsenal akilose kisingizio kitakuwa ni nini? Even 1 point ni muhimu then tutasema timu ina improve otherwise ukimfunga Norwich Leeds then unasema kuna improvement utakuwa unafurahisha jukwaa siku ziende Shit
 
Saint Maximin is a big deal, sijui kama Newcastle watamuuza ila huyu jamaa atakuwa mkubwa sana akienda timu kubwa, Newcastle are reliant on him to get up the pitch, Bring ASM to Arsenal as a Pepe replacement.
aina ya mpira anaocheza sio kbs, anao anao sana sidhani kama anatufaa
 
Back
Top Bottom