Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
...cheer up mkuu, we are Arsenal, together we stand!
Vuka kwanza mto kesho ndo uanze kumtukana mamba(makelele).....Thank God hatujafungwa kama ninyi mid week,tungefungwa ndo tungeweza tia adabu lakini tumeambulia japo kapointi kamoja........Binafsi simlalamikii Refa,nawalalamikia wachezaji wetu
RVP ndani ya Nou Camp mazoezi ya vijana kama kawa pics https://www.jamiiforums.com/sports-and-entertainment-forum/56188-arsenal-new-era-at-the-emirates-25.html#post1708030
kusema ukwel nikifikiria leo baadae ninakosa ucngnz mana dah! Roho ya uoga na kutojiamin inaniingia wakat co kawaida yangu kias kwamba nimekosa ucngz hata kuota nimeshndwa ila vyovyote itakavyo kuwa mm nitabak kuwa ARSENAL na nitaendelea kuSUPPORT ARSENAL DAIMA.
MUNGU IBALIK ARSENAL MUNGU IBALIK THE GUNNERS SUPPORTER amen.
He he hee! Mkuu naona umeamua kula kiapo cha milele ili hata mambo yakibuma uwe umeshajifunga!!!kusema ukwel nikifikiria leo baadae ninakosa ucngnz mana dah! Roho ya uoga na kutojiamin inaniingia wakat co kawaida yangu kias kwamba nimekosa ucngz hata kuota nimeshndwa ila vyovyote itakavyo kuwa mm nitabak kuwa ARSENAL na nitaendelea kuSUPPORT ARSENAL DAIMA.
MUNGU IBALIK ARSENAL MUNGU IBALIK THE GUNNERS SUPPORTER amen.
Hivi Van Persie leo atacheza?? Maana bila yeye sijui kama tutapona kwa barca..
Leo nimeona nipite hapa mapema manake akili yote iko hapa.....nitarudi baadaye....!!!!
msichelewe kuja basi mashabiki wenzangu wa Arsenal manake watani watakuja kuendesha jukwaa wao......!!!
Bundi naomba abaki tu huko Manchester United.......akikosea njia aende Chelsea...tupumzike kidogo na sisi!!!
VIVA ARSENAL....PAMOJA DAIMA!!!
tuko pamoja mamaaaa wa kwanza wa dunia,ila kiroho cha dunda hicho michelle maana mwanangu mkifungwa atanuna wiki nzima:rain:
we acha tu jamani,naomba iwe salama....tukifungwa tu naenda zangu Loliondo manake hali itakuwa si nzuri....pia nataka niwakilishe ARSENAL kwenye kusafisha nyota kule Loliondo......bundi awe anakaa mbali na sisi!!!

Jiandae tu na kilio Michelle..Naona leo utakuwa na usiku mrefu sana!!..Barca oyeeee
tuko pamoja! Arsenal for lifeLeo nimeona nipite hapa mapema manake akili yote iko hapa.....nitarudi baadaye....!!!!