Kama ndio hivyo nahisi watu wangegoma kucheza EPL maana kusingekuwa na ushindani maana MAN UTD wamenunua FA aaaaahaah kweli kushindwa kubaya hadi umefikia hatua hii.Hiyo ilikuwa ni kawaida wanawahara sana Arsenal lakini mwaka huu patachimbika tu.
Mkuu mpira wa kusimuliwa au kuuona ... ..Wacha ngebe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mkuu kwani hufahamu the Home of Arsenal .... ...... ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mkuu nyinyi mnatoa Brown envelopes kwani ni siri? Usiongee kama upo kwenye kijiwe cha kahawa. 1 sio sawa na 0. khe khe kheeeeeeeeeeee
Mlichonga sana mechi ya kwanza na wala hamkujifunza chacha wewe unashabikia timu gani? Kama huwezi kuwafunga Barca kama Arsenal fyata mkia ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mkuu kila timu ina mechi 38 sasa hii notion ya kusema utegemee wenzako inatoka wapi? mfano hao hao Sunderland waliwabamiza Chelsick Darajani sisi tumepata point moja baada ya makosa ya marefa Ooops baada ya kuchukua bahasha kutoka kwa Chelsick na Manure ili watucheleweshe lakini tupo ngangari usiwe na hofu.
Chance ya kunyimwa ushindi wacha majungu!
Mmmh watani mna misemo ya kujikanda moyo..............:hand::hand:
Mkuu yaani umenifurahisha unaona ukweli timu inazingua yenyewe haitumi chances wanasubiri miteremko.....haya bwana tuone kama liver watakua na msaada kwenuhaya mambo ya kuchukua kombe kwa kutarajia wenzio washindwe ni mabaya sana.....hapa sasa sie tunaombea Liver washinde kesho......kila la kheri kwao......
Subiri uone kesho sasa....
...keep on dreaming, ...typical 'Manure' Fans, "Counting Chickens Before They Hatch...!"
Hiyo ilikuwa ni kawaida wanawahara sana Arsenal lakini mwaka huu patachimbika tu.
Mkuu mpira wa kusimuliwa au kuuona ... ..Wacha ngebe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mkuu kwani hufahamu the Home of Arsenal .... ...... ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mkuu nyinyi mnatoa Brown envelopes kwani ni siri? Usiongee kama upo kwenye kijiwe cha kahawa. 1 sio sawa na 0. khe khe kheeeeeeeeeeee
Mlichonga sana mechi ya kwanza na wala hamkujifunza chacha wewe unashabikia timu gani? Kama huwezi kuwafunga Barca kama Arsenal fyata mkia ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mkuu kila timu ina mechi 38 sasa hii notion ya kusema utegemee wenzako inatoka wapi? mfano hao hao Sunderland waliwabamiza Chelsick Darajani sisi tumepata point moja baada ya makosa ya marefa Ooops baada ya kuchukua bahasha kutoka kwa Chelsick na Manure ili watucheleweshe lakini tupo ngangari usiwe na hofu.
Chance ya kunyimwa ushindi wacha majungu!
Anko Wacha1!
Sasa fanya jumanne ile mida yetu ikifika tuwe wote hapa kijiweni mwanzo mwisho, au sio?; kama wenzio kina AW, Mbu, Questt et al. Sidhani kama umebuku flight ya kwenda Barca, au sio?
Manake game za Emirata zote wasingizia uko uwanjani afu unakuja hapa badaeeee na pics za The sun na Getty images kama vile hukuwa uwanjani live bana, sio kwamba hatujakustukia kuwa unatupiga kamba, ni vile tunakustahi, kimtindo; unachangamsha kijiwe.
Jumanne, mm, ww na wooote, hapa JF, dk ya 1 hadi ya 90, au sio?.
Naomba kutoa hoja.
khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee khe khe kheeeeeeee khe kheeeeeeeeeee khe keh kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Nice one!Anko Wacha1!
Sasa fanya jumanne ile mida yetu ikifika tuwe wote hapa kijiweni mwanzo mwisho, au sio?; kama wenzio kina AW, Mbu, Questt et al. Sidhani kama umebuku flight ya kwenda Barca, au sio?
Manake game za Emirata zote wasingizia uko uwanjani afu unakuja hapa badaeeee na pics za The sun na Getty images kama vile hukuwa uwanjani live bana, sio kwamba hatujakustukia kuwa unatupiga kamba, ni vile tunakustahi, kimtindo; unachangamsha kijiwe.
Jumanne, mm, ww na wooote, hapa JF, dk ya 1 hadi ya 90, au sio?.
Naomba kutoa hoja.
Kama ndio hivyo nahisi watu wangegoma kucheza EPL maana kusingekuwa na ushindani maana MAN UTD wamenunua FA aaaaahaah kweli kushindwa kubaya hadi umefikia hatua hii.
Arsenal yaani ni kama academy tu sasa sijui lini washabiki watavuna vikombe......maana sasa akiumia RVP,FAB,WALCT hamna timu.
Mkuu yaani umenifurahisha unaona ukweli timu inazingua yenyewe haitumi chances wanasubiri miteremko.....haya bwana tuone kama liver watakua na msaada kwenu
hahah mkuu wewe ulilielewa swali langu...
Well, Chelsea na Liverpool watawasaidia Arsenal kuchukua ubingwa kwa kuwakandamiza Man U ONLY IF Arsenal watakuwa serious na kushinda mechi zao.
Jana nilisema. Naona sasa Liverpool is doing you a favour!
Sijui mtakuwa na excuse gani mkishindwa kulibeba. Chelsea will do U even a greater favour!
tumearibu toka jana mkuu , naona tukae kimya tu tuangalie game zetu zijazo lol.kama tukishinda game ijayo then kwa point tutakua sawa na Utd.....So the only thing can take us to the top is GD.....we need to score as many goalz as possible no matter who we gona play with...........Viva Liverpool 4 their great Job......Its up to us to make it Happen.....
tumearibu toka jana mkuu , naona tukae kimya tu tuangalie game zetu zijazo lol.
Wapi wacha1, hongereni kwa point maana ilikuwa mfungwe.yaani hapa bia inashuka ninaposubiri MAN UTD kesho ..........Yaani kesho ni dose tu kwa liverpool yaani ushindi wetu,GLORY MAN UTD...keep on dreaming, ...typical 'Manure' Fans, "Counting Chickens Before They Hatch...!"
Subiri uone kesho sasa....