Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Ndio nkamwambia I like the way he used the word "if"Hawana ukubwa huo wa kuretain players, Daclan Rice anaondoka shughuli imeisha, mpira unauangaliaje?
Ndio nkamwambia I like the way he used the word "if"Hawana ukubwa huo wa kuretain players, Daclan Rice anaondoka shughuli imeisha, mpira unauangaliaje?
Well said. But for me, we only need a proven striker in January to make sure we finish in top fourHiyo negative GD walikua nayo united na spurs pia mpaka ile game week 13.
Mimi naamini kama una uwezo wa kuzifunga mid table teams ni rahisi zaidi hata kuchukua ubingwa kwa sababu ligi yoyote kwa asilimia kubwa is made up na hawa mid table teams.
Failure yetu kusecure top six misimu miwili nyuma ilikuja kutokana na kushindwa kupata points mbele ya timu hizi hizi za mid table, wakina Wolves, Burnley, Leicester etc walikua wanachukua points.
Hata msimu huu, tulianza kupoteza kwa mpanda daraja Brentford, tumekua hatuna uhakika wa kuzifunga hizi mid table kupoteza kwa liva inaeleweka lakini kwa Everton?
Tena kuna mtu kascore magoli yamekataliwa na VAR yet akapata nafasi nyingine ya kuscore? What does that tell you?
And you expect this team outta nowhere ianze kuifunga city na liva? Na unailaumu isiposhinda?
Nikiwa realistic sioni tukisurvive sana kama January itapita kimya.
Naona Lukaku naye hamna kitu plus mlisema mnahitaji winga kwakua ziyech ni kinaboWe mzee wa kimasai, winga/striker wa nini tena?
Mnaona tunavyopumulia mashine kukosekana kwa Kante kikosini.
Tunahitaji DMF mwingine, Kante umri unasonga injuries kila siku hana muda mrefu mbeleni. Replacement inahitajika.
Huu ndio usajili wa haraka unahitajika the blues
Usajili wa mkopo wa Saul tumeingia choo cha kike.
Nakubaliana na weweWell said. But for me, we only need a proven striker in January to make sure we finish in top four
And going forward we will surely collect points from the so called top teams in the second round. I think we played away against all top teams hii round ya kwanzaHii inaonesha Arsenal have got confidence problem, performance inabadilika timu ikiwa Away from home
Kiukweli kabisa kama tusingepoteza dhidi ya Everton na Brentford Leo tungekuwa wapi? Draws mbili against Palace na Brighton je??Ila Aser8 mid table teams mnazibabua magoli ya kutosha.
Mnakusanya points muhimu zitawazaidia sana huko mbeleni.
Kwa Norwich tulishinda goli moja, kuna mid kama watatu tumewashinda goli moja moja tu. Na kwa msimu huu katika ligi aliyefungwa sana na Arsenal alifungwa 4 at the expense of ruhusu magoli mawili against a mid table.Ila Aser8 mid table teams mnazibabua magoli ya kutosha.
Mnakusanya points muhimu zitawazaidia sana huko mbeleni.
Western?A tricky game at home to Western, hawa jamaa wamekuwa mbogo kwa kila timu kubwa, tuone kama tutawafunga nyumbani?
Nafikiria hela za Western Union mkuu, West Ham sorry!Western?
And going forward we will surely collect points from the so called top teams in the second round. I think we played away against all top teams hii round ya kwanza
HahahahaahahahNot the so called, they are really top teams. Evaluation of the quality of their squads and performance will definitely lead you to reviewing your statement. Let the truth be said.
Zinapatikanaje hizi?Nafikiria hela za Western Union mkuu, West Ham sorry!
And going forward we will surely collect points from the so called top teams in the second round. I think we played away against all top teams hii round ya kwanza




bro huwa unanifurahisha sana Liverpool Manchester City tutawafunga Emirates?kwa team ipi ya Arsenal labda?ambayo ina players wa aina gani?achaga masihara kwenye serious issues basi when the day itakapofika ni kusali tusipatwe na vipigo takatifu katika those two games at home otherwise jukwaa utalikimbia hili I know we love our Arsenal but the truth must be usemweWajiandae kisaiklojia,mmeshang'atwa sasa kupulizwa ndo next match
Sent using motorola 78
Dah, we mduanzi hapa umeniacha.Shoka lilikua janja.
Liliendelea kushinda kila uchaguzi ulioitishwa pale msituni.
Ila miti ikaendelea kupungua kwa kasi.
Shoka lilidai kwakua mpini wake ni wa mti basi na yeye ni mwenzao.