Morning my fellow Gunners! Mmeamkaje?najua bado mna maumivu ya kufungwa na tena rival,sisi ambao tunaonekana ni haters kwa maumivu ya jana ni normal thing kwetu!the last time kuona Arsenal has no coach ni kwenye game dhidi ya Brighton and Crystal Palace nkaona hapa tuna players ambao wakiamka good Arsenal will win otherwise wale wachambuz uchwara wa kumtetea Arteta jana mmejionea wenyewe,timu kubwa kama Arsenal why wanapoteza Big games mfululizo dhidi ya Liverpool Manchester City Manchester United Chelsea then unasema bado kuna kocha hapo?nawatakia siku njema my people