Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hizi ni assumptions tu na maneno yasiyo na ushahidi wowote.

Nadhani last summer Arsenal/ Stan ndio timu iliyotumia peas nyingi zaidi kuliko timu yoyote.

Huu ndio ushahidi tofauti na hapo ni assumptions tu.

Klopp alipoajiriwa na Liverpool alikaa muda sana kabla hajashinda taji lolote.
Ni kweli spending kubwa ilifanywa last summer kuliko klabu zingine.

Mtu A akijenga nyumba akafikia kwenye kuezeka akaacha kisha Mtu B akaamua na yeye aanze kujenga ila ndiyo anaanza mwanzo kabisa assuming aliyefikia kuezeka aliacha mwaka nyuma na sasa anaamua kuezeka mwaka huu ambao mtu B anaanza from scratch yakipigwa mahesabu ya matumizi ya huo mwaka Mtu A ataonekana alitumia kiasi kichache kujenga kuliko Mtu B.

Arsenal ni Mtu B
 
City inamtaka Tavares
Sisi tumekaa kazi yetu kutukana wachezaji wetu tu. Waswahili tabu sana Sisi kudaadeki zetu.

Game ya United nadhani ile alitoa boko ESR akasingiziwa Tavares. Humu humu kinduni tena nadhani ni mysterio huyo.

Yaani usajili uliofanywa last summer na Edu na Arteta ni bonge la Usajili
 
Sawa!

Mtu B aliamua kuanzia mwaka huo baada ya kujifunza. Kama hivyo ndivyo tutasemaje mtu B ni bahili???
 
Ni bahili.

Kuna mengi yangeepukwa kama sera yake ya uwekezaji isingekua na kile walichokisema "Hatuwezi kuwekeza pesa nyingi kwakua nature ya mpira ni unstable"
 
Sisi tumekaa kazi yetu kutukana wachezaji wetu tu. Waswahili tabu sana Sisi kudaadeki zetu.

Game ya United nadhani ile alitoa boko ESR akasingiziwa Tavares. Humu humu kinduni tena nadhani ni mysterio huyo.

Yaani usajili uliofanywa last summer na Edu na Arteta ni bonge la Usajili

Tavares ana udhaifu wake, nadhani uliona against Liverpool na Everton. Bahati mbaya nimegundua kuna comment mtu anatoa lakini it is hard to be understood by many, I don’t care. Ninachokisema kwenye comments zangu nyingi, some players have problems/issues which could be brought under control by the coach. Tavares akipata coach mzuri tatizo lake linarekebishwa. Hili ni tatizo ambalo of late limekuwa common kwenye timu yetu, that is giving balls away.
 
I agree with you. Just let's not overreact and remember these people are human beings and not robots.
 
Tavares ana udhaifu wake, nadhani uliona against Liverpool na Everton. Bahati mbaya nimegundua kuna comment mtu anatoa lakini it is hard to be understood by many, I don’t care. Ninachokisema kwenye comments zangu nyingi, some players have problems/issues which could be brought under control by the coach. Tavares akipata coach mzuri tatizo lake linarekebishwa. Hili ni tatizo ambalo of late limekuwa common kwenye timu yetu, that is giving balls away.
Fact atakeyupinga atakuwa ni chizi na hii ndio Big problem ya coach wetu sababu ana uwezo mdogo
 
Unaweza kuniletea hiyo quote kaka???
Screenshot_2021-12-11-22-04-36-22.jpg

Unaweza kuniletea hiyo quote kaka???
For years wameiendesha Arsenal katika 'self sustaining model' Arsenal ilikua ikijilisha na kujihudumia katika kila kitu mpaka usajili.

Kuna articles pia zikionyesha pesa waliyotoa na waliyoingiza. Waliyotoa ni 0 shilling and in turn wametengeneza massive profit.

Mara nyingi hua namkatalia mtu anaposema Kroenke katumia mno pesa and what not the main reason ni hiyo kwamba Arsenal survived kwa jasho lake yenyewe.

Alipoulizwa kama kuna uwekezaji utafanywa na akatoa jibu hilo at that time mambo yalikua 50/ 50 ila baada ya kutolewa na Villarreal na kukosa mashindano ya Ulaya ndiyo wakaahidi mapinduzi katika usajili.

Hayo mapinduzi ndiyo yakaifanya Arsenal ionekane imespend kuliko spending giant City na wenzake.

So a guy hana interests za club at heart. I hope hii itamaliza arguments za kusema Stan kaihudumia Arsenal.
 
Tavares ana udhaifu wake, nadhani uliona against Liverpool na Everton. Bahati mbaya nimegundua kuna comment mtu anatoa lakini it is hard to be understood by many, I don’t care. Ninachokisema kwenye comments zangu nyingi, some players have problems/issues which could be brought under control by the coach. Tavares akipata coach mzuri tatizo lake linarekebishwa. Hili ni tatizo ambalo of late limekuwa common kwenye timu yetu, that is giving balls away.
Tatizo la Tavares ni lipi? Pep Guardiolla angerekebisha vipi hilo tatizo ? ongea kiufundi tukuelewe.
 
Back
Top Bottom