The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Hivi ratiba ishatoka? Ndio kusema tupo na psg?Hasira za Arsenal naenda kuzimalizia kwako kwenye Champions league
Hivi ratiba ishatoka? Ndio kusema tupo na psg?Hasira za Arsenal naenda kuzimalizia kwako kwenye Champions league
upumbavu huoInarudiwa.View attachment 2042787
Hii game ya Brentford na United bado ipo tu Leo??
Hivi kumbe Aston villa ni team kubwa kuliko Manchester city mkuu?Heheheheeee Arsenal ni big team? Mkuu uko serious? Nitajie big team ambayo haina UEFA au japo Europa.
HahhhaHivi kumbe Aston villa ni team kubwa kuliko Manchester city mkuu?
I just went through the whole squad and I can only see Lacca and TierneyWho is Next?..Holding, lacca?..Tierney
Auba alipewa kitambaa kutoka kwa xhaka ambae alipokonywa sababu ya utovu wa nidhamu leo hii Auba nae ni mtovu wa nidhamu hili timu leo haina tofaut na matimu yanayocheza ndondo cup

NI hao wawili ila mkoba Gabby anatajwa sana.I just went through the whole squad and I can only see Lacca and Tierney