Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ndio tunasuka timu bro.

We decided to start afresh bro, remember???? Hii timu miaka ya mwishoni mwa Wenger ilikuwa hoi.

Nimesema mara kadhaa, 2023/2024 tunabeba EPL. I wonder when my fellow gooners panick
Mzee baba uelewa wako wa mpira upo makini sana sio kwa kuwa unamtetea Arteta, ila huwa nashangazwa sana na mtu anachukua mambo ya kipindi cha AW anaunganisha lawama hadi kipindi cha Mikel Arteta. DNA ya Artetaball imepandikizwa hadi timu za vijana sio senior timu pekee ili kumaanisha tumeamua kuanza upya na long term project.

Tuliandika timu itamaliza top four tukaambiwa unaota wewe, ajabu leo unakuta mtu anatokwa povu eti timu inadrop points so inapoteza race ya Top four against united, Spurs & West ham, very ironically.
 
Very Ironically,

Yaani watu wanasema hatuna team ya kumaliza top four. Halafu ikitokea tumefungwa utamsikia mtu huyohuyo anasema "tunapoteza point sana hatuwezi ingia top four" hahahahahahaah

Sasa wewe si tayari ume-conclude kwamba hatuna team ya kuingia top four??

Bro, bado game 3 tu tufike nusu msimu. Ipo post yangu humu nlisema tutapata muelekeo mzuri tukimaliza mzunguko wa kwanza yaani after game 19. Ila pia Leo nasema tena, let's wait tukimaliza game 19 , lakini pia ntataka kuona reaction ya club kwenye dirisha dogo la usajili la January. Kama tutasajili striker au laa. So by 1st February mimi "ntaongea na media" kuhusu mustakbali wa timu haahahahahahahh
 
Ndugu, nimesoma hii screenshot yote na sijaona Josh aliposema ulivyosema wewe. Unless uñambie mimi sifahamu kiingereza.
Najaribu tafuta pages za IG ambazo ziliripoti hili tukio apparently ni ishu.

But alijibu kwamba self sustaining model ni nzuri kwakua football is unpredictable in nature. Hii Q&A ilifanywa baada ya ile deal ya Super League.

Hiyo screenshot yaweza isitoe nilichoandika lakini hilo ndiyo jibu and sooner ndiyo pesa ikawekwa.l iliyosababisha Arsenal ionekane imetumia pesa ndefu
 
Very Ironically,

Yaani watu wanasema hatuna team ya kumaliza top four. Halafu ikitokea tumefungwa utamsikia mtu huyohuyo anasema "tunapoteza point sana hatuwezi ingia top four" hahahahahahaah

Sasa wewe si tayari ume-conclude kwamba hatuna team ya kuingia top four??

Bro, bado game 3 tu tufike nusu msimu. Ipo post yangu humu nlisema tutapata muelekeo mzuri tukimaliza mzunguko wa kwanza yaani after game 19. Ila pia Leo nasema tena, let's wait tukimaliza game 19 , lakini pia ntataka kuona reaction ya club kwenye dirisha dogo la usajili la January. Kama tutasajili striker au laa. So by 1st February mimi "ntaongea na media" kuhusu mustakbali wa timu haahahahahahahh

Juzi Kati niliandika tusiwe tunajiwekea unrealistic targets tunapozifunga mid table teams. Bado kuna kazi kubwa ya kufanya to improve team performance. Haiwezekani team yenye malengo ya kuwa top 4 next season iwe na negative GD after 16 games, achilia mbali udhaifu ninaouongelea kila mara. Tuwe wakweli, Mimi mtu akiniambia Westham kwa mfano atakuwa top 4 2023/24 naweza mkubalia kwa kuangalia intensity ya team, aggressiveness ya team eg wanapotokea wakakufunga kwanza hawarudi nyuma ku- park bus,wanaendelea kukutafuta tena. Ingawaje sasa hivi tuna convincing squad depth, lakini players are discontented, expect massive exodus next January. Why, I guess you have the answers
 
Najaribu tafuta pages za IG ambazo ziliripoti hili tukio apparently ni ishu.

But alijibu kwamba self sustaining model ni nzuri kwakua football is unpredictable in nature. Hii Q&A ilifanywa baada ya ile deal ya Super League.

Hiyo screenshot yaweza isitoe nilichoandika lakini hilo ndiyo jibu and sooner ndiyo pesa ikawekwa.l iliyosababisha Arsenal ionekane imetumia pesa ndefu
Sawa bhana
 
Juzi Kati niliandika tusiwe tunajiwekea unrealistic targets tunapozifunga mid table teams. Bado kuna kazi kubwa ya kufanya to improve team performance. Haiwezekani team yenye malengo ya kuwa top 4 next season iwe na negative GD after 16 games, achilia mbali udhaifu ninaouongelea kila mara. Tuwe wakweli, Mimi mtu akiniambia Westham kwa mfano atakuwa top 4 2023/24 naweza mkubalia kwa kuangalia intensity ya team, aggressiveness ya team eg wanapotokea wakakufunga kwanza hawarudi nyuma ku- park bus,wanaendelea kukutafuta tena. Ingawaje sasa hivi tuna convincing squad depth, lakini players are discontented, expect massive exodus next January. Why, I guess you have the answers
Mkuu, nimei- screenshot hii post yako maana siamini kama kutakuwa na watu watakaotaka kuondoka Arsenal wao wenyewe in January rather Arsenal ndio itawaondoa.

Pili sidhani kama Westham wanaweza kuwa top four contenders 2023/2024 maana tumeona vya kutosha hizi mid table teams zisivyo stable na zinavyoshindwa ku- replicate the form they had a season before, a season after. Tumeona hilo kwa Wolves, Everton, etc

Ni kweli usemalo, tusijipe unrealistic expectations baada ya ushindi wa hizi timu ndogo mfano ushindi wa Jana wa Soton. Na kubaliana na wewe na ndio maana mimi nkaomba mpka end of game 19, na Jana nkaomba mpaka end of January window ili niwe kwenye position ya kui-judge timu
 
Labda itokee miujiza, Mari, Nketiah, Holding, Chambers, Maitland Niles, Pepe, Cedric,ni miongoni mwa wanaweza kuondoka January.
 
Juzi Kati niliandika tusiwe tunajiwekea unrealistic targets tunapozifunga mid table teams. Bado kuna kazi kubwa ya kufanya to improve team performance. Haiwezekani team yenye malengo ya kuwa top 4 next season iwe na negative GD after 16 games, achilia mbali udhaifu ninaouongelea kila mara. Tuwe wakweli, Mimi mtu akiniambia Westham kwa mfano atakuwa top 4 2023/24 naweza mkubalia kwa kuangalia intensity ya team, aggressiveness ya team eg wanapotokea wakakufunga kwanza hawarudi nyuma ku- park bus,wanaendelea kukutafuta tena. Ingawaje sasa hivi tuna convincing squad depth, lakini players are discontented, expect massive exodus next January. Why, I guess you have the answers
Hiyo negative GD walikua nayo united na spurs pia mpaka ile game week 13.

Mimi naamini kama una uwezo wa kuzifunga mid table teams ni rahisi zaidi hata kuchukua ubingwa kwa sababu ligi yoyote kwa asilimia kubwa is made up na hawa mid table teams.

Failure yetu kusecure top six misimu miwili nyuma ilikuja kutokana na kushindwa kupata points mbele ya timu hizi hizi za mid table, wakina Wolves, Burnley, Leicester etc walikua wanachukua points.

Hata msimu huu, tulianza kupoteza kwa mpanda daraja Brentford, tumekua hatuna uhakika wa kuzifunga hizi mid table kupoteza kwa liva inaeleweka lakini kwa Everton?

Tena kuna mtu kascore magoli yamekataliwa na VAR yet akapata nafasi nyingine ya kuscore? What does that tell you?

And you expect this team outta nowhere ianze kuifunga city na liva? Na unailaumu isiposhinda?

Nikiwa realistic sioni tukisurvive sana kama January itapita kimya.
 
Hawana ukubwa huo wa kuretain players, Daclan Rice anaondoka shughuli imeisha, mpira unauangaliaje?

Naomba nisi-comment kwa leo, tusibiri Jumatano, ili niweze kukupa mifano hai. Natamani tushinde hiyo mechi but I remain skeptical.
Rice amekuwa akitafutwa na Chelsea, Man U and other top European clubs zaidi ya misimu miwili iliyopita, lakini mpaka ninapoandika bado yupo westham.
 
Hiyo negative GD walikua nayo united na spurs pia mpaka ile game week 13.

Mimi naamini kama una uwezo wa kuzifunga mid table teams ni rahisi zaidi hata kuchukua ubingwa kwa sababu ligi yoyote kwa asilimia kubwa is made up na hawa mid table teams.

Failure yetu kusecure top six misimu miwili nyuma ilikuja kutokana na kushindwa kupata points mbele ya timu hizi hizi za mid table, wakina Wolves, Burnley, Leicester etc walikua wanachukua points.

Hata msimu huu, tulianza kupoteza kwa mpanda daraja Brentford, tumekua hatuna uhakika wa kuzifunga hizi mid table kupoteza kwa liva inaeleweka lakini kwa Everton?

Tena kuna mtu kascore magoli yamekataliwa na VAR yet akapata nafasi nyingine ya kuscore? What does that tell you?

And you expect this team outta nowhere ianze kuifunga city na liva? Na unailaumu isiposhinda?

Nikiwa realistic sioni tukisurvive sana kama January itapita kimya.

Ngoja nitumie maneno rahisi ili unielewe. Kama umeangalia mechi mbili zilizopita za Wolves vs Liverpool/Man City. Utaelewa ninacho kiongelea hapa. Wale jamaa wanajituma kiukweli wawapo uwanjani. Nadhani ushindi wa jana wa City, credit wanampa Raul Jimenez kwa utaahira wake. Hii spirit ya Wolves ndio tunayoikosa Arsenal. Kuna wakati timu inacheza utadhani wachezaji walilala disco. Spirit ya Kuijtuma bado haijajengeka kwetu. Hakuna timu itakuwa top four bila hii kitu.
 
Hiko hua nakisema kila siku kuanzia kocha Emery mpaka leo.

Beki kama Holding ambaye ni mguu wa shingo mguu wa roho au Saliba siyo wa kuwatelekeza. Kiungo kama Guendouz, anakosa vitu vingi ila ana spirit kuzidi viungo waliokuepo wakati anaondoka ila akaachwa.

Auba ndiyo hana morali hata kidogo.
 
Kwamba jana liva dhidi ya villa kashinda goli moja tu.

Juzi nilisema walivyoendeshwa na Everton nikajibiwa hiyo ni derby na stori nyingine. Westham akafanya yake, na jana Villa kashikilia bomba vizuri tu.

Timu yetu iliyokua ya tatu kufungwa goli chache msimu uliopita nini kimeikumba msimu huu? Villa ina kocha mpya wamemaintain kupoteza kwa goli moja tu. Naona Arsenal haichezi kama unit na hii inachangiwa na morali komedi ya timu.

Kulinda na kushambulia pamoja imekua mtihani.
 
Labda itokee miujiza, Mari, Nketiah, Holding, Chambers, Maitland Niles, Pepe, Cedric,ni miongoni mwa wanaweza kuondoka January.
Sasa hiyo sio exodus in a negative way. Hao ni kwamba timu haiwataki.

AMN hatouzwa half way because he is in Arteta's plan. Pepe hatouzwa half way because he is in a coach plan hao wengine kila la kheri
 
Back
Top Bottom