Pengine kafanya hivyo makusudi. Akitarget kurudi kwenye game yenye changamoto zaidi.A booking for Rice, will see him missing the next match. Mnanielewa ndugu zangu?
Apparently timu zishajua kwamba zikishambulia non stop Arsenal inashindwa kuhimili so hawatokua na Declan ila watahakikisha hawakauki golini