johrobby
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,066
- 2,252




katoa assist3 na mentality yakeSent using motorola 78




katoa assist3 na mentality yakeAmemrithi Thiago Silva huo mtindo wa kutoa assistskatoa assist3 na mentality yake
Sent using motorola 78
United ambayo ina wachezaji wenye uzoefu kutuzidi amekula tano pale.Kusema kweli nilijua tutafungwa île game ya juzi ila sikutarajia kama tutapigwa nyingi vile .. Cha msingi tuzidi kupambana tuna timu nzuri tu japo mapungufu bado ni mengi..
Yaani wanasikitisha sana hawa manUnited ambayo ina wachezaji wenye uzoefu kutuzidi amekula tano pale.
u.. Hivi kweli timu ina pogba, Bruno fernandes na Ronaldo juu halafu bado wananafungwa vile... Yule mmasai atawashusha daraja wallah !.. 0Mmasai kafukuzwa. Sasa hivi ni unemployed.Yaani wanasikitisha sana hawa manu.. Hivi kweli timu ina pogba, Bruno fernandes na Ronaldo juu halafu bado wananafungwa vile... Yule mmasai atawashusha daraja wallah !.. 0
YaaapMambo ya positioning, pressing, aggressiveness etc.. ni wajibu wa kocha ku improve wachezaji. Otherwise kusingekuwa na haja ya training sessions. Kama ameshindwa ku manage ego za hao big players, that means he is not fit for the job
Yaan mkuu matatizo yote uliyoyataja ni kwa sababu ya kocha na wala siyo wachezaji.
Nimekutolea mfano wa Lampard, wachezaji kama Rudiger na Kante walionekana hamna kitu, but right now they are indispensable. Chelsea ya Lampard(2019/20) ili concede 50+ goals, look at them now.. they rarely concede.
Angalia Liverpool chini ya Klopp wanavo press. Je ni kwa sababu tu wachezaji wameamua ku press out of nowhere??? NO, It is down to the manager's philosophy. That means mtu asipoweza ku adapt anakuwa axed
Tukubaliane tu mkuu kwamba OGS and Arteta are no where near elite.
At some point huwa naona ata Arteta is far more better than our clueless clown
Hiyo nilikuwa sijajua !.. Kama kawaida yao man u hawajuagi kutafuta makocha wa maana.. Ngoja tuone kama watapatia safari hiiMmasai kafukuzwa. Sasa hivi ni unemployed.
Even Arsenal wanatakiwa kufind new coach that's why timu ipo ipo tu wakikutana na big teams ,they conceded a lot of goals sababu ya mbinu za ArtetaHiyo nilikuwa sijajua !.. Kama kawaida yao man u hawajuagi kutafuta makocha wa maana.. Ngoja tuone kama watapatia safari hii
hahahaAnapita na vichekoscreen nzima imejaa vicheko.
Amemrithi Thiago Silva huo mtindo wa kutoa assists




et mchezaj anaitwa tavares






mnaenda jisombea matakatakaMchezaji anaitwa Baba hivi unajisikiaje kutamka hilo jina? Na msimu huu timu zote zimegoma kumchukua kwa mkopoet mchezaj anaitwa tavares
mnaenda jisombea matakataka
Sent using motorola 78
jipe moyo lokongaMchezaji anaitwa Baba hivi unajisikiaje kutamka hilo jina? Na msimu huu timu zote zimegoma kumchukua kwa mkopo
Chalobha
Mashabiki wa hii timu wana matatizo.
Performance ya Chelsea tunayoiona ni fire fire and this came kwa sababu ya board iliyo serious na football Arsenal kuja kubeba EPL na Champions league hatutakuwa duniani tutakuwa tushakufa wote katika dunia hii you can't imagine Arsenal and Chelsea in December 2020,they were similar hakukuwa na utofauti mkubwa kati ya Lampard and Arteta but now on kuna tofauti kubwa ya Arteta na Tuchel kama Mbingu na Ardhi




FACTHahahahawakati tunamfukuza Lampard mlitutukana, oooh Lampard angepewa muda ajenge timu.
The blues sio timu ya kusubiriwa ijengwe, ilishajengwa long time, now ni timu ya kubeba makombe.
Ndio maana kila kocha mzuri wa mbinu akitua the blues lazima abebe kombe.
Babu Sarii hakuwahi kubeba kombe lolote katika maisha yake ya ukocha, tumempa kombe la Europa.
Arteta kama anazo mbinu nzuri akija the blues tunampa kombe la UEFA, Yes why not?