Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ole Gunnar Solskjaer faces the sack after Manchester United reportedly called an emergency board meeting following Saturday's humiliating 4-1 defeat at Watford

Sisi tunasubiri Nini?
We are fine bro we are fine.

Hii kubadilisha makocha haisaidii sanaaa
 
Page ya Ig ya Arsenal ina comments za watu wanaoonyesha kwamba wanajua timu ilipo na hawajali matokeo ya leo ila wanaiomba timu izinduke kuelekea next match.

Am in love with this.
Huo ndio ukweli. The team is progressing so well.
 
Arsenal na manure ni mapacha wasiofanana
Usitufananishe na wehu Sisi.

Watu wanasajili ujinga tu na kulipa mishahara mikubwa kizembezembe unatufananisha na Sisi ambao tunajua tunapokwenda??

Umeona tulivyocheza first half?? Individual error zinamtokea mtu yoyote yule
 
Ole Gunnar Solskjaer faces the sack after Manchester United reportedly called an emergency board meeting following Saturday's humiliating 4-1 defeat at Watford

Sisi tunasubiri Nini?
Msimu unaanza united inajitambulisha kama title contender. Mechi ya pili Pogba ana assissts zaidi ya nne, Ronaldo kashascore Fernandes anafananishwa na De Bruyne. Varane anatajwa kama simenti katika ukuta.

Arsenal tunashika nafasi ya mwisho.

Game week 12 Arsenal ni wa 5 anahitaji points tatu kwenda nafasi ya nne. Next match ana New Castle wakati United next match ana Chelsea. Akishinda ndiyo amfikie Arsenal alipo.

Kubwa zaidi tuna clean sheets nyingi kumzidi tuliyeambiwa ana ukuta mkali ligi nzima.

Nani anatakiwa awe na presha ya kufukuza kocha?
 
Ole Gunnar Solskjaer faces the sack after Manchester United reportedly called an emergency board meeting following Saturday's humiliating 4-1 defeat at Watford

Sisi tunasubiri Nini?
Mzee unahitaji kujifunza mambo ya mpira, kwani hujui kuwa tuna inexperience timu na tumepoteza mchezo against the strongest side, tulikuwa na 10 games unbeaten run hatukusikia haya, hizi ndio cognitive bias & wrong judgements. Tafuta kitabu cha Thinking fast & slow by kahneman mkuu kinasaidia sn.
 
Usitufananishe na wehu Sisi.

Watu wanasajili ujinga tu na kulipa mishahara mikubwa kizembezembe unatufananisha na Sisi ambao tunajua tunapokwenda??

Umeona tulivyocheza first half?? Individual error zinamtokea mtu yoyote yule
Press ya Liverpool ilikuwa aggressive enough sababu ndio ilikuwa njia kuu ya kuifunga hii inexperienced Arsenal, nadhani uliona Lokonga alichokuwa anafanya akipressiwa, Elneny angeanza angetupa unafuu, kwenye high technical game km hizi unahitaji wachezaji km Xhaka (press resistant), ndio maana huwa nashangaa mtu anasema Lokonga for Xhaka, Lokonga anatakiwa acheze against weak side kama Norwich & co kuimprove his game sababu ni mzuri kwenye possession paka pale atakapo mature kucheza this kinda game.
 
Msimu unaanza united inajitambulisha kama title contender. Mechi ya pili Pogba ana assissts zaidi ya nne, Ronaldo kashascore Fernandes anafananishwa na De Bruyne. Varane anatajwa kama simenti katika ukuta.

Arsenal tunashika nafasi ya mwisho.

Game week 12 Arsenal ni wa 5 anahitaji points tatu kwenda nafasi ya nne. Next match ana New Castle wakati United next match ana Chelsea. Akishinda ndiyo amfikie Arsenal alipo.

Kubwa zaidi tuna clean sheets nyingi kumzidi tuliyeambiwa ana ukuta mkali ligi nzima.

Nani anatakiwa awe na presha ya kufukuza kocha?
Mashabiki siku zote sio wastahmilivu
 
Mashabiki siku zote sio wastahmilivu
Huko IG comments ni 'We Move' 'We will bounce back next match' ' Minor setback for a major comeback' sijaona 'Arteta out' labda commenr ya hivyo ije baada ya mimi kutoka.

Ila united kuanzia mwaka jana mpaka huu ni 'Ole out'

We are doing fine.l ikifika time ya kuweza kumfunga mpinzani yeyote bila kutarajia miujiza tutaambiana hapa hapa.
 
Ila wasee huwa nashangaa sana. Inakuwaje mtu anashabikia team kama Arsenal? What's the motive behind the decision to root for Arsenal?
Sorry to ask u this Are u married or do you have a lover!?

If yes, did some1 push you to love your wf or lover!? I think the answer is no!
So the same mechanism always applies in loving the football teams
 
Nyie ni matakataka tu na timu lenu linapaswa kuondolewa London maana linatia aibu Sana. Imagine Westham anamla kuku yule, nyie munashindwa atimaye munaliwa nyie kama pumba
 
Back
Top Bottom