Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal tushaenda away kwa City & Liverpool. On the other hand, United & Spurs bado wana mashtaka ya kujibu kwenye viwanja vya Anfield & Etihad, Tupo kwenye nafasi nzuri sana ya Top four race.
 
Coaches bora wengi huwa wanafanya gambling katika playing techniques, team formation and Playing pattern

Na hii ndio husababisha kocha fulani kushindwa kufanya vizuri katika Team A ila akafanya vizuri team B

Naelewa wanachokifanya Arsenal na Manchester United ktk kutafuta Coaches wa timu zao coz wana utaratibu wa kuwa na kocha mmoja ambae anahudumu kwa muda mrefu zaidi

Na ndio pale Arsenal yule Arteta hata upige kelele za namna gani ila ni vigumu kumfukuza haraka Coz wanaamini ktk kumpa kocha muda wa kutosha na vilevile kwa Man U walikuwa na target ya kuendelea kuwa Coach Ole kwa muda mrefu zaidi ila presha ikawa kubwa zaidi kwake na kwa board ya Manchester united

Na ninaelewa kwanini wametafuta Interim coach coz wanatafuta mtu sahihi ambaye ataendana na falsafa za timu yao na kuhudumu kwa muda mrefu zaidi kama tamaduni za timu yao zinavyojieleza

Ninaamini ktk mchakato wa Arteta kwenye kujenga timu ya vijana wadogo kwa manufaa ya Arsenal bora ya badae

Let's keep our own Talents

Bukayo Saka
ESR
Martinelli
Tavares
Ben White
Gabriel
Saliba
Sambi Lokonga
AM Niles
Nketiah
Balogun
Charlie Patino
Ramsdale
 
Tatizo lnakuja baada ya kupata majina hawa wachezaji watataka kuondoka project inaanza upya tena mzee
 
Wakipata majina kwa pamoja na kufanya vzr uwanjani, release clause ya hao wachezaji inakuwa kubwa na project ikiwa nzuri basi wachezaji watapenda kuwepo kwenye timu kwa mafanikio zaidi

Mchezaji anashawishika kuondoka kwenye timu ikiwa timu haifanyi vzr wala kupata positive results
 
First eleven ishaeleweka hadi sasa hivi

Screenshot_20211127-143204.jpg
 
Wakipata majina kwa pamoja na kufanya vzr uwanjani, release clause ya hao wachezaji inakuwa kubwa na project ikiwa nzuri basi wachezaji watapenda kuwepo kwenye timu kwa mafanikio zaidi

Mchezaji anashawishika kuondoka kwenye timu ikiwa timu haifanyi vzr wala kupata positive results
tulikuwa na postve results under wenger + trophies bt wachzaji km nasri sagna clichy fabregas waliondoka
 
Back
Top Bottom