Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,077
- 7,420
Spurs ukiangalia game vs Leeds wamestruggle cuz wanakosa watu muhimu kwenye build up phases, hata Burnley sidhani kama watawaacha salama.Wazee, kama Mikel Arteta akizichanga karata vizuri kwenye game nne zijazo basi vita ya nafasi ya nne inabaki kati ya Arsenal na West ham. United wapo vibaya sana, ndani ya game mbili zijazo vs Chelsea & Arsenal watapoteza kabisa uelekeo wa Top four.