OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Nu Casto itakuja kuwa timu kubwa kuliko hii takataka..
Siujinyonge tu mkuu?Tumegaragazwa. Tuamke. Tujifute. Tukusanye nguvu. Tuendelee na safari. Kutesa kwa zamu. Wanaoponda nawo wataambulia haya haya siku…
C O Y G till we die..
AmeeenEh Mwenyezi Mungu tunaomba usikie maombi haya, na Utupatie ushindi katika mechi yetu dhidi ya Liverpool. Amen





Mzee unahitaji kujifunza mambo ya mpira, kwani hujui kuwa tuna inexperience timu na tumepoteza mchezo against the strongest side, tulikuwa na 10 games unbeaten run hatukusikia haya, hizi ndio cognitive bias & wrong judgements. Tafuta kitabu cha Thinking fast & slow by kahneman mkuu kinasaidia sn.







Hivyo vichezaji ata aje kocha yesuOle Gunnar Solskjaer faces the sack after Manchester United reportedly called an emergency board meeting following Saturday's humiliating 4-1 defeat at Watford
Sisi tunasubiri Nini?
What do you mean?
May be Balogun kama ataonesha difference.Toney /Tammy/DCL in our frontline we will be able to get out of elite teams' press, hawa wapo vizuri kuwin aerial/ground Duels & linkup play sio kama hawa CF wa sasa tulionao.
We moveWhat do you mean?
Mzee mbona unamng'ang'ania tammy? Hebu nipe siriToney /Tammy/DCL in our frontline we will be able to get out of elite teams' press, hawa wapo vizuri kuwin aerial/ground Duels & linkup play sio kama hawa CF wa sasa tulionao.
Game kama ya jana ingekiwa rahisi kama Attackers wetu wanawin aerial battles, Liverpool huwa wanablock central progression kwa kummark opponent's conductor kama Partey, Sasa unahitaji kuwa na outet play kama niliowataja hapo Juu.Mzee mbona unamng'ang'ania tammy? Hebu nipe siri
Kwanini hizo traits hajazionyesha Chelsea?Game kama ya jana ingekiwa rahisi kama Attackers wetu wanawin aerial battles, Liverpool huwa wanablock central progression kwa kummark opponent's conductor kama Partey, Sasa unahitaji kuwa na outet play kama niliowataja hapo Juu.
Tammy ni aina ya CF wa kuitransform hii Arsenal tactically zaidi ya hawa CF tulionao, shida wengi tunamuangalia CF kwenye mlengo wa kufunga tu na tunasahau vital principles in positional play.
Na Kwa jinsi alivyocheza Kwa presha Jana mixer kutoa assist si bure Tierney akarudi nafasi yake na yy akakaa kando
