Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kocha abadilike anacomplicate sana mambo, hizi game tatu zote he got tactically wrong, performance wise amefeli Sana jana tumerecord the worst possession in epl since 2003, japo bado nina imani naye ila inatosha kujifunza hizi mechi tatu turudi kwenye Arsenal ways, kinachotushangaza Arsenal fans sio kufungwa hata mpira wa Arsenal hatuuoni
Arsenal haiwezi kurudi kwenye kiwango chake abadani Red light ilishaonyesha kushindwa kumfunga Brentford bado kuna Spurs Liverpool Manchester United then kuna wale wabishi Leicester Everton West Ham ,naapa Arsenal msimu huu nafasi kubwa kamaliza ni ya 16 au hata 17 kabisa mpaka sasa mechi 3 zimechezwa hata goli la kufunga hakuna then unasema Arsenal itarudi kwenye kiwango chaje kocha akiwa huyo huyo Arteta?acha masihara
 
ACHA WEWEEEE, YAANI KWA WACHEZAJI WALE UNAHISI UNAWEZA KUIFUNGA HATA ASTON VILLA. PAMBANENI NUNUENI WACHEZAJI WA MAANA ACHANENI NA VITOTO HIVYO. pambaf.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Arsenal haiwezi kurudi kwenye kiwango chake abadani Red light ilishaonyesha kushindwa kumfunga Brentford bado kuna Spurs Liverpool Manchester United then kuna wale wabishi Leicester Everton West Ham ,naapa Arsenal msimu huu nafasi kubwa kamaliza ni ya 16 au hata 17 kabisa mpaka sasa mechi 3 zimechezwa hata goli la kufunga hakuna then unasema Arsenal itarudi kwenye kiwango chaje kocha akiwa huyo huyo Arteta?acha masihara
Nasema tena,Arteta siyo kocha wa kiwango.Arsenal naipenda ila kurudi kuiangalia ni mpaka Arteta aondoke.
 
Ponapona ya mashabiki wa Arsenal ni hili jina la arsenal KUBADILISHWA ili ionekane Arsenal haipo
 
Arsenal haiwezi kurudi kwenye kiwango chake abadani Red light ilishaonyesha kushindwa kumfunga Brentford bado kuna Spurs Liverpool Manchester United then kuna wale wabishi Leicester Everton West Ham ,naapa Arsenal msimu huu nafasi kubwa kamaliza ni ya 16 au hata 17 kabisa mpaka sasa mechi 3 zimechezwa hata goli la kufunga hakuna then unasema Arsenal itarudi kwenye kiwango chaje kocha akiwa huyo huyo Arteta?acha masihara

Ni mtazamo ila ngoja warudi Gabriel White na partey tuone, assertiveness kwenye timu ni tatizo kwa sasa at least wakirudi hao tunaweza Kudetect nani mwenye shida
Mkuu punguza hyper negativity😁
Quote Re
 
Baada ya Game dhidi ya Brentford, Red light ilishaonyesha kuna hatari mbeleni, kwa sasa Arteta hana cha kuisaidia Arsenal otherwise ataishusha Daraja
 
Hii inaitwaje kisoka?
740d6d9f-ceb7-4778-8835-87f038a84fef.jpg
 
SiO rahisi Wenger akarudi Arsenal, siku zake za mwisho alidhalilishwa sana na mashabiki. Najua pale alipo anaumia kuona timu imepoteza mwelekeo.
Naangalia mechi ya wolves vs United, angalia intensity ya wachezaji wa wolves. Kwa Nini Arsenal hawako hivyo?
 
Kwasasa arsenal anapigania vitu viwili prospect/future na legacy/brand.hapa ndipo mzee Wenger anapoingia ,wakati ozil na Sanchez wanakuja arsenal hawakuja kwa trust ya timu bali walikuwa na imani na malezi ya kochà.huyu mzee anaweza kuleta quick recovery na akatutengenezea mpango wa muda mrefu na mpango wa muda mfupi ili ku counter crisis tuliyonayo
SiO rahisi Wenger akarudi Arsenal, siku zake za mwisho alidhalilishwa sana na mashabiki. Najua pale alipo anaumia kuona timu imepoteza mwelekeo.
Naangalia mechi ya wolves vs United, angalia intensity ya wachezaji wa wolves. Kwa Nini Arsenal
 
Back
Top Bottom