Arsenal (The Gunners) | Special Thread

...Pheeeeeeeewww!...

Pamoja we stand wakuu Arsene Wenger, BAK, Questt, et al...!
was fun dakika zote 88 tulipokuwa na matumaini ya ushindi...
We will be back...!

Belo, Peasant, Eqlypz, et al...
Your wish is granted. Uwanja ni wenu kupiga madongo sasa...
Oooh, BTW..."It was only a Mickey Mouse Cup",...ha ha!

Usiku mwema!
 
Kuwafunga Barcelona basi mkatangaza kabisa mnachukua vikombe vyombe bullshit,kwa mpira gani bana wa kuchukua vikombe....mtakaa mnacheza mpira wa fashion lakini hamlambi kitu......
 


Ni kweli Emirates kuna kimavi, mbona mlipokuwa Highbury mambo yalikuwa pouuwaa?!!
 
Koscienly nimemsamehe kutokana na kujituma leo , ajifunze kutoka kwenye kosa lake lile goko nomaaa.

Mkuu yule angeweza kuokoa ule mpira sema alishaona mtu wake kawa pale na akasema akiweka mguu atamuumiza but sio mbaya next time atajifunza na ndio mpira ulivyo.....
 
to be honest i was praying for brummies victory...sasa ngoja niende twitter nikamtafute jack wilshire na sczeny maana walimsema sana ashley cole
 


Hahahahahahah! Ahsante kwa kuniliwaza Mkuu. Kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi...we still have 3 more chances to go. Kama alivyosema Mrembo Michelle VIVA ARSENAL! VIVA!

Cheers.
 
Jamani huku umeme umekatika tujulisheni matokeo wadanganyika wenzenu kama tunavyopeana info zingine za peeeplez power.
 
Leo SABABU ninayo, NIA ninayo na SHAUKU ninayo sanaaaaaa ya kuona Arsenal wanatakata pale Wembley....Lakiniiiii......!................(naomba nije kumalizia kitendawili hiki badae).

Wasalaam watani....!

Matokeo ya mwisho YAMEMALIZIA kitendawili changu. Ngoja nianze pitia comments za ndg zangu nyie ambao hata kombe TULILOWAACHIA na kimsingi lenye HADHI yenu mmeshindwa kulinyakua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…