May be time will come and the team will start to win but in no way that will mean Arteta is a fine coach for a club like arsenal.
Kuna baadhi ya makosa yanakuwa hayana way out, wewe fikiria tu. Jamaa amekuja kama kocha and within no time eti amekuwa Manager, alarm bell ikaanza kulia pale pale.
How in hell would you let someone like Guendouzi leave and instead sign Lukonga?? Tunaangalia vitu gani haswa huwa?? Hahaahah
Wenga kaacha falsafa ya ovyo sana.......full ubahili kwenye kusajiliMkuu ninyi mtamlaumu Arteta tu. Anzeni na wachezaji wenu. Arteta hawezi pata ushindi na hawa watoto mnaowasajili ovyo ovyo. Then upate matokeo Epl eti Rowe anategemewa afunge chelsea au mansity na kapewa namba 10 ivi ni kweli?
Arsenal mnadhalilisha hizi jezi zenu. Mtu kama Lokonga eti anapewa majukumu mazito ya kucheza mido kweli acheni utani. Mnamuonea Arteta tu. Tena nawaambia hata mkimpata kocha mzuri kiasi gani na mkaendelea na hawa wachezaji wenu mtesa tu hatuna kocha[emoji23][emoji23]
Hahahahah castr maumivu vipi[emoji1][emoji1787][emoji849][emoji849][emoji848]
Juzi nilisema Arsenal kuanza kushinda consistently ni kuanzia mwezi wa tisa. Matokeo hayajanishtuaHahahahah castr maumivu vipi[emoji1][emoji1787]
Hehehe sasa inashiriki EPL ili iweje?3 months ago die hard fans mlisema kuwa hatuna Europe competition so top 4 ni lazima je Arsenal akianza kushinda September (na huo uhakika pia haupo)lengo la timu ni niniJuzi nilisema Arsenal kuanza kushinda consistently ni kuanzia mwezi wa tisa. Matokeo hayajanishtua
Tafuta sehemu niliyosema kua kukosa europe comp kutatupa nafasi ya nne.Hehehe sasa inashiriki EPL ili iweje?3 months ago die hard fans mlisema kuwa hatuna Europe competition so top 4 ni lazima je Arsenal akianza kushinda September (na huo uhakika pia haupo)lengo la timu ni nini
Willian kalike page ya chelseafc iliyopostiwa goal 2 tulioshinda dhidi yenu vip una naoni gani kwenye Hili?πππ€
Si niliwahi kuwaambia Arsenal hana uhasama na chelsea ila ana uhasama na spurs? Nikawaambia pia ndiyo maana ni ngumu sana mchezaji kutoka Arsenal - spurs au spurs - Arsenal (ingawa imeshatokea) kuliko chelsea - Arsenal au Arsenal - chelsea.Willian kalike page ya chelseafc iliyopostiwa goal 2 tulioshinda dhidi yenu vip una naoni gani kwenye Hili?
Maneno ya kocha wako kasema tulijaribu kushindana nao ila walituzidi kwasababu Wana world players na ni mabingwa wa ulaya. Kama kocha wako kakiri hiv nyinyi kwanini mnamdomo kama chuchungeSi niliwahi kuwaambia Arsenal hana uhasama na chelsea ila ana uhasama na spurs? Nikawaambia pia ndiyo maana ni ngumu sana mchezaji kutoka Arsenal - spurs au spurs - Arsenal (ingawa imeshatokea) kuliko chelsea - Arsenal au Arsenal - chelsea.
So kama kalike nafikiri worst thing ni kuonekana unproffesional nothing more.
Hziyech22 itakua umeruka pages nyingi so haujaona nilichoandika.Maneno ya kocha wako kasema tulijaribu kushindana nao ila walituzidi kwasababu Wana world players na ni mabingwa wa ulaya. Kama kocha wako kakiri hiv nyinyi kwanini mnamdomo kama chuchunge