Miye nimeishiwa nguvu kabisa!...Duh! Ndiyo matatizo ya kutosajili wacheza wazuri maana pengo la wachezaji wawili tu linaleta matatizo makubwa kuliko inavyostahili. Poleni sana wana GUNNERS wenzangu.
Miye nimeishiwa nguvu kabisa!...Duh! Ndiyo matatizo ya kutosajili wacheza wazuri maana pengo la wachezaji wawili tu linaleta matatizo makubwa kuliko inavyostahili. Poleni sana wana GUNNERS wenzangu.
e bana wee! ARSHAVIN na ROSICKY waliposajiliwa walikuwa wazuri sana bro, ....Uzuri wao umeishia wapi? TOTAL CRAP PLAYERS THESE TWO BASTARDS FROM EASTERN EUROPE....
Ndio matatizo ya kusajili wachezaji wavivu kujifunza lugha! lol! BTW poleni sana wakuu! i feel for you mannn! to me you desreved to win this BUT unlucky!
Hiki ndo huku kwetu uswahilini tunaita KIMAVI.......Yaani sisi Arsenal na Makombe Imekua NDOTO....This was my only Hope....But hope Boyz will get back and keep Fighting......Inauma sana...Ila hakuna BanFa....Usiku mwema.....I need to sleep though am not sure if i can...............