Si tunataka yale maigizo yako mengine haya hayakufaiMWAKA MGUMU HUU..NEXT FIXTUREView attachment 1903471
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hapo watakula hamsaMWAKA MGUMU HUU..NEXT FIXTUREView attachment 1903471
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
2-1Utashinda ngapi
Kagusa mara tatuI stand to be corrected, mpaka dakika ya 28 Sijaona Martinelli akigusa mpira
Tupo na hatuna wasiwasiArse8 mpo au mmeshakimbia kambi yenu
Sawa tutaona hizo goli zenu 2
Mhhh ngoja tuangalie Mpira!Team PSG!heee la 2 hilooooooo narudia mpaka August 28 hili jukwaa litabaki na shabiki 1 wa Arsenal wengi watapotea humu!nliandika last week inahitaji uwe na degree ya Mirembe kuamini tutanfunga Chelsea na Manchester City after kupigwa na BrentfordNamshangaa sana jamaa wakati msimu huu hakuna excuse ukweli Arsenal nafasi ya 16 akiishika akafanye sherehe that's the fuckin truth atake asitake Arsenal ni timu ya kimalaya malaya unafungwa na Brentford then kwa kikosi hicho hicho upate 6 points dhidi ya Chelsea na Manchester City?
Aya msije mkakimbia kambi yenu baada ya kufungwa goli 3 bado goli 1Tupo na hatuna wasiwasi


Mpango wako umefeli