Hana nguvu hizo leoYule shabiki wa Man anaye yuwekeaga msimamo yupo wapi atuwekee na leo.
Sioni km tunaweza kuzibakiza hizo point 3point tatu zinabaki Emirates
sifa zilizidiDakika 15, Martinelli hajagusa mpira




























PAZIA LA LIGI LIMEFUNGULIWA HUKO..KUNA USAJILI WOWOTE WA MAANA HAPA AU MNASUBIRI LIGI IANZE MUANZE KULAUMIANA "arteta out".View attachment 1884384
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hehehehehehehehehehemashabiki wa aseno walioko uwanjani wanashangilia vitu vya kijinga
wanashangilia mchezaji kutoa pasi.








































nilikuwa natype kuisifia asenyo yangu nikafuta
Wamegoma kuandamana?mashabiki wa aseno walioko uwanjani wanashangilia vitu vya kijinga
wanashangilia mchezaji kutoa pasi.
Utashinda ngapiLeo tunashinda