computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Una ubishi wa kijinga haukusaidii hata kama wote ni Arsenal fans haya Liverpool kaongeza la 2 hukoMi siamini
Una ubishi wa kijinga haukusaidii hata kama wote ni Arsenal fans haya Liverpool kaongeza la 2 hukoMi siamini
Endelea kujipa moyo kama wale wasabato masalia waliotaka kusafiri ulaya bila nauli wa passport.10- ukimaanisha tutakua tunadaiwa magoli? Haiwezekani.
Kuna timu itaangukia pua
Namshangaa sana jamaa wakati msimu huu hakuna excuse ukweli Arsenal nafasi ya 16 akiishika akafanye sherehe that's the fuckin truth atake asitake Arsenal ni timu ya kimalaya malaya unafungwa na Brentford then kwa kikosi hicho hicho upate 6 points dhidi ya Chelsea na Manchester City?Endelea kujipa moyo kama wale wasabato masalia waliotaka kusafiri ulaya bila nauli wa passport.
Kaka kubali tu TIMU HUNA, KOCHA HAUNA na mbaya zaidi Tajiri KROENKE mbahili na hana time kabisa na Arsenal, husitegemee chochote zaidi ya maumivu.
View attachment 1892420
Na hauhitaji akili nyingi, lisha onekana bado kukamilika, Chelsea kidogo watatupiga chache ila City na uona mkono.


Tawire...Wenzako wenye akili wanaelewa kitakachowapata....Toka hapa
Dah sawaUna ubishi wa kijinga haukusaidii hata kama wote ni Arsenal fans haya Liverpool kaongeza la 2 huko
Watu tunatofautiana namna tunavyoangalia mpira kila mtu anaona anachoona.Endelea kujipa moyo kama wale wasabato masalia waliotaka kusafiri ulaya bila nauli wa passport.
Kaka kubali tu TIMU HUNA, KOCHA HAUNA na mbaya zaidi Tajiri KROENKE mbahili na hana time kabisa na Arsenal, husitegemee chochote zaidi ya maumivu.
View attachment 1892420
Ndo kutoka kwa nani sasa?Wenzako wenye akili wanaelewa kitakachowapata....
Week hatutokuwa na huruma na wewe. We jitoe akili tu.Ndo kutoka kwa nani sasa?
Unakumbuka alichokufanya westbromwich?Week hatutokuwa na huruma na wewe. We jitoe akili tu.
Hapa tunaijadili westbromwich kumbe?Unakumbuka alichokufanya westbromwich?
Kumbe unakumbuka. Sasa subiriHapa tunaijadili westbromwich kumbe?
Humu ndani mtapaona pachungu nyie kunguni.Kumbe unakumbuka. Sasa subiri
Chache tatuHumu ndani mtapaona pachungu nyie kunguni.
Naongelea build up ya Emi sio Saves, Leno kwenye saves ni mzuri ila anadisconnect timu kwenye build up sio mzuri playing from the back ndio maana nadhani km Ramsdale anakuja atakuwa first GK straight up.Huyo mnayesema anajua kuliko Leno tayari katobolewa mara tatu na Villa ni miongoni mwa timu zilizofanya poa sokoni

Hakuna kitu kama hicho, paka January hivi Arsenal itakuwa in Top four.Mungu atunusuru tusishuke daraja baada ya mechi 3 tutakuwa na point 0 hilo halihitaji ubishi au kutokuwa na akili timamu ya kulitambua hilo!Maadui zetu wote wanafungua msimu na point 3 za Maana!na ndio wataunda Top 4 na Top 10.Weeekend njema
kupata vichekesho kama hivi andika arsenal kuwa top four had january😀😀😀😀Hakuna kitu kama hicho, paka January hivi Arsenal itakuwa in Top four.
Wiki ngumu hii ukizingatia Man na Chelsea wote wameshinda, wote wanahamia humu jukwaa hili lishakuwa lao.
Na kwa mwendo huu msimu huu jukwaa tutalikimbia hili.






