Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Vp kuhusu timu kubwa ambayo hata haishiriki hiyo conference?
Ezekiel Arsenal haijashiriki mashindano ya Ulaya msimu huu tu tangu 1900 huko.

Liva haijashiriki michuano ya ulaya almost mara 6.

Chelsea mwaka juzi tu hapo ilishika nafasi ya 8.

Hizi glitches hua zinatokea. Naelewa kwamba wewe kwa level yako hayo niliyoandika huwezi kuyajua.
 
Tuachane na mambo ya miaka hiyo Nyerere bado rais, vp ww ambaye hushiriki ligi yoyote ya nje tofauti na hii uliyoliwa wiki iliyopita.?
 
Breaking news ni kwamba TT hatokuwepo uwanjani mana kuwa sehemu moja na dogo arteta n kumuaibisha TT
Unajifurahisha tu hapa.

Arsenal kaipiga chelsea kocha lampard mkaja kusema eti sasa kaja tuchel sasa na mkapigwa tena.

Yeye tuchel tangu juzi jumatano alisema atalala hapo uwanjani mpaka siku ya mechi wewe mnyakyusa upo huko Mwambene unasema hataki kua uwanjani.
 
Washika manati leo nimewabetia, chonde musichane mkeka.
Nasafilia miujiza yenu, leo ushindi kama kawaida.
 
Tuwe na subra ndugu
 
Washika manati leo nimewabetia, chonde musichane mkeka.
Nasafilia miujiza yenu, leo ushindi kama kawaida.
Kitoabu Arsenal ina majeruhi wengi na wagonjwa wa corona.

Nafikiri Arsenal itaanza kua na uhakika wa kushinda kuanzia mwezi wa tisa mwanzoni.

Kipindi hichi ni kipindi cha kubebwa na historia.
 
Nyie matakataka itabidi kesho muwe hapa maana tutacheza na nyavu hadi zikatike..
 
Huo ujasiri wakucheki game kesho utautoa wapi? nipo hapa na baadhi ya Arsenal fans wamesusa kuicheki game ya kesho
Nipo mkoa ambao mimi siyo mwenyeji na bando limepanda bei ila hiyo mechi ningeiangalia kiroho safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…