heheh mkuu nilishawahi kuzima tv wakati wa mechi yetu ya ucl 2008... Alafu nyie washabiki wa arsenal kiboko timu nyingine ikishiriki carling cup mnasema ni 'worthless cup' ila leo mko final mnajidai mna amnesia.Hahahahaha! Lakini hata akizima TV haibadili kitu uwanjani. Labda ajaribu pia kukaa mbali na JF kama Wacha kila Arsenal wakicheza.
Duuuh bila van persie kazi itakuwa ngumu? injury kweli nuksi.
heheh mkuu nilishawahi kuzima tv wakati wa mechi yetu ya ucl 2008... Alafu nyie washabiki wa arsenal kiboko timu nyingine ikishiriki carling cup mnasema ni 'worthless cup' ila leo mko final mnajidai mna amnesia.
Wenger vipi anamtoa arshavin? nilijua rosicky ndio atamtoa. sasa kamleta chamkh amsaidie bendtner kunyata pale mbele.
heheh mkuu nilishawahi kuzima tv wakati wa mechi yetu ya ucl 2008... Alafu nyie washabiki wa arsenal kiboko timu nyingine ikishiriki carling cup mnasema ni 'worthless cup' ila leo mko final mnajidai mna amnesia.
forster alidai kuwa man utd kuna pressure sana...anashangaa baada ya kushinda carling cup 2009 badala ya kushangilia kesho yake wakaenda training alfajiri....e bana wee minya basi bana aaaah!?
Huyu Ben Foster mlimuuza au? anataka sifa leo.
Hahahaha, ningecheka sana ningekuona unavyozima TV. Anyway, hawa Arsenal Carling cup linakuwa kombe kubwa sana kwa ni wao wanacheza, hii inaonyesha ni jinsi gani walivyo na kiu cha kombe japo moja ili kutoa nuksi ya uwanja wa Emirates. Lakini ukweli ni kwamba bado Carling cup ni Mickey Mouse cup ukilinganisha na makombe mengine.
heheh mtani ni banter tu......madhali Chelsea, Man United, Liverpool et al wote mlishiriki hatua za awali kombe hili, hata mkiliita jina gani...halibadilishi ubora wa team shiriki, au sio bana?...halafu mnachoooooonga as if tumeshinda tayari. Nyie vipi bana?