Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal mlikuwa mnaongoza league mda si mrefu lakini ndani ya dakika chache mmeporomoka kutoka nafasi ya kwanza mpaka ya mwisho.

Utafikiri tupo kwenye gwaride.

Nyumaaa geuuuukaaaaa. Wa kwanza anakuwa wa mwisho.
 
Nimekimbilia kucash out mapema sana maana dah
Getafe naye kapata red sidhani kama kuna goli litaongezeka

Screenshot_2021-08-13-23-41-19-24.jpg
 
Brentford kesho wanakuja kuandika kwenye ule uzi pendwa wa kula tunda kimasikhara jins walivyokula tunda bila kuimbisha manzi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Arsenal ileeee maskini ya mungu, dah!
Yale ya Sandaland hatimaye yaikumba Arsenal.
Arsenal haina misimu mitatu ndani ya EPL, shika hii kauli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom