Yani mpaka haibu yani.
Yani mpaka haibu yani.
Wagombee tu kutoshuka daraja mapema kabla haijawa too lateLalalalalalalal kwa timu hii gombanieni nafasi ya 8 hadi 10
Hukuwa unaitaka hyo pesaNdugu zangu leo nimewawekea 100k mshinde. Nategemea 197k mechi ikiisha
Nafikir sio lugha rafiki sana kwa wanamichezoASIKINYESI
Huo ndio ukweli, uwezo wa Arteta ni mdogo.Naanza kuwa na wasiwasi na uwezo wa Arteta ina maana hawa wachezaji wa Arsenal wote ni wabovu kweli kiasi hichi!
Nategemea yale ma-idiots ya Chelsea hawatakuja huku kututapikia



Mkuu Una roho ngumu kweli au ndo ili uwe successful u hv to take risks?Ndugu zangu leo nimewawekea 100k mshinde. Nategemea 197k mechi ikiisha
