Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

IMG_20210813_235559.jpg

Mmetoka kushika mitutu na sasa mnashika mkun(gu)
 
We don’t have quality players, you see, a number of players were up for sale but no one was interested. The board didn’t take tangible initiative to make sure they buy quality players on time. How could a deal for a player take 3 weeks? It should be either done or cancelled within that time spell. I blame the players, coaching staff , edu and those stupid KSE for the defeat today.
Arsenal fun's mmechachuka kudadaki
 
Tuongelee tuone wananchi wanasemaje kuhusu swala la Katiba Mpya, you know what?people will be ready to contribute.Let the people speak

 
Cc tunacho hitaji n katiba,,hayo mambo yao ya kizembe,na waendelee nayo wenyewe.
 
Chongolo anaonyesha kabisa kuwa anajua watu wanataka Tume huru ya uchaguzi na Demokrasia. So kama anajua why CCM haitaki kuwapa Watanzania uhuru wao?
 
Tatizo la timu nmi kocha wala sio wachezaji. Manweza kuwa na wachezaji avergae wasio weza kugombania ubingwa lakini sio wachezaji wa kufungwa na kila timu. Arteta uwezo wake ni mdogo afadhali ya Lampard
Lampard ni kocha mzuri namna anaifanya timu icheze inavutia kuangalia.

Ila akilinganishwa na Arteta hataonekana mzuri kumzidi Arteta kwakua Arteta ameshinda vikombe na klabu ya Arsenal tayari.

Mimi naamini kama timu haina AM kocha inabidi afanye timu iwe na attacking fullbacks ili wapinzani wakifocus na hao mabeki uwape mwanya CMs kusogea mbele. Maajabu ya Arteta eti Bellerin na Cedric anawaweka nje anamuanzisha Chambers.

Mjinga
 
Kwa kiwango hiki, it is difficult to get good players who will be willing to join our team. Arsenal is rubbish
Mkuu,

Sisi ni watu wa mpira, tuwaangalie Chelsea, United, City na hata Liverpool.

Hapa hamna kitu hapa ndugu.
 
Lampard ni kocha mzuri namna anaifanya timu icheze inavutia kuangalia.

Ila akilinganishwa na Arteta hataonekana mzuri kumzidi Arteta kwakua Arteta ameshinda vikombe na klabu ya Arsenal tayari.

Mimi naamini kama timu haina AM kocha inabidi afanye timu iwe na attacking fullbacks ili wapinzani wakifocus na hao mabeki uwape mwanya CMs kusogea mbele. Maajabu ya Arteta eti Bellerin na Cedric anawaweka nje anamuanzisha Chambers.

Mjinga

Huwezi kumpa nafasi ya kuchezea mchezaji ambaye unajua unamuuza.
 
Hii ndio inaoonyesha kwamba coach na direct of football ni takataka. Timu kwenye preseason haijashinda hata mechi moja, still hawataki kununua wachezaji
Kuhusu hilo watatokea kina gspain watamtetea kocha na kumsema tajiri kwamba hajatoa hela. Ila ukweli ni kwamba Arteta na Edu ndio tatizo kubwa sana zaidi ya matatizo aliyoyawacha wenga.

£50M for Ben White, lakini tunae William Saliba tumemfukuza kwa ubaguzi tu. What about Lukonga ambae kiukweli hamfikii Guendouzi na Guendouzi tumemfukuza only because ya personal issues na Arteta.
 
Back
Top Bottom