Wells
Senior Member
- Apr 21, 2017
- 171
- 415
Hakuna kocha paleNaanza kuwa na wasiwasi na uwezo wa Arteta ina maana hawa wachezaji wa Arsenal wote ni wabovu kweli kiasi hichi!
Hakuna kocha paleNaanza kuwa na wasiwasi na uwezo wa Arteta ina maana hawa wachezaji wa Arsenal wote ni wabovu kweli kiasi hichi!
Wanadhani wako mechi za maandalizi.Naanza kuwa na wasiwasi na uwezo wa Arteta ina maana hawa wachezaji wa Arsenal wote ni wabovu kweli kiasi hichi!
Mchezaji anaitwa Sambi kweli unategemea alete matokeo 😂😂😂et lokongamajirani zetu kueni sirius bas
wenzenu wanasajili wakina sanchi world nyie ety lokonga
![]()



unajuaga kuwakera

kesho tuko kwa leeds au sioView attachment 1891429
Wanangu wa Arsenal wapo tayari kwa lolote kutetea timu yao
Basi mkuu, wamekoma.Brentford 2 Arsenal 0
Ushasokomezwa viwili. Panua miguu vizuri watu wamalize pakiti.Usituletee umalaya wenu wa kipare