Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Hehehehe eti Sambi Lokonga. Huyu mmemtoa msitu gani?
View attachment 1891292
Utajuaje wakati umeanza kwenda vibandani mwaka huu?
Hehehehe eti Sambi Lokonga. Huyu mmemtoa msitu gani?
View attachment 1891292
Malengo Siyo kuchukua ubingwa!? DuuhLeo ndiyo tunaianza safari ya kurudi kwenye jwedali la nne bora..#COYG.. WANAFAMILIA WENZANGU.
Mbona Luiz na Willian siwani hata benchi au ndio mmeshtukia huo msala nini?Hehehehe eti Sambi Lokonga. Huyu mmemtoa msitu gani?
View attachment 1891292
Bet wonNdugu zangu leo nimewawekea 100k mshinde. Nategemea 197k mechi ikiisha
Mbona Luiz na Willian siwani hata benchi au ndio mmeshtukia huo msala nini?
KvpDSTV Wanakera sana
Sema uchumi wako ndio shida.DSTV Wanakera sana
Sema wamekutana madogo wote. Kwani Arsenal ana ukubwa gani semaBrentford hakustahili kunywa hiki kikombe
Kwa lugha ya mtaani, "dogo anahemea mipira"

