Kwenye preseason Arsenal aliifunga Millwall 4, akafungwa na spurs na chelsea na timu nyingine jina limenitoka akasuluhu na rangers.Hii ndio inaoonyesha kwamba coach na direct of football ni takataka. Timu kwenye preseason haijashinda hata mechi moja, still hawataki kununua wachezaji
Arsenal InasikitishaWiki mbili nyuma nilisema tunaweza kufungwa hii game na jana nikarudia kusema hivyo hivyo kwenye uzi wa Maghayo Haya matokeo hayajanishtua.
View attachment 1891464
To donate what!?😀😀😀, We bakia na arsenal yako mbovu hiyo si uliipenda mwenyewe bhana au!😀As an Arsenal fan I have seen enough and now I would like to donate my eyes to charity
Exactly! I think the man has run out of ideas.arteta ndo atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa msimu huu
I think the problem is arteta and not the players. It will be by God grace if he sees X-Mass on the touchline at Arsenal
The Blues Fan hapa natania majirani zanguTo donate what!?😀😀😀, We bakia na arsenal yako mbovu hiyo si uliipenda mwenyewe bhana au!😀
Tatizo la timu nmi kocha wala sio wachezaji. Manweza kuwa na wachezaji avergae wasio weza kugombania ubingwa lakini sio wachezaji wa kufungwa na kila timu. Arteta uwezo wake ni mdogo afadhali ya LampardKwenye preseason Arsenal aliifunga Millwall 4, akafungwa na spurs na chelsea na timu nyingine jina limenitoka akasuluhu na rangers.
Anyway, wote tunajua tatizo la kweli liko wapi. Kuwalaumu makocha na bodi ni kuaddress tawi la tatizo.
Mmiliki alivyoona kelele za kuambiwa aondoke zimezidi akasema "Nawaahidi exceptional transfer window" 😅😅
Bora huu muda nipige dua maombi niliyoyatuma yanipe chansi ya kuitwa kwenye usaili kuliko kupoteza muda kujadili tatizo ni nani pale Arsenal.