Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Katika usajili kuna vitu vinaangaliwa.

Umri.

Muda mkataba wa mchezaji umebakia.

Varane ana miaka 28. Amebakisha mwaka 1 katika mkataba wake. Madrid wakikaza shingo kumuuza msimu ujao ataondoka free.

White ana miaka 23. Amebakisha miaka 3 katika mkataba wake.

United amenunua mkataba wa mwaka mmoja wa Varame. Arsenal anataka kununua mkataba wa miaka 3 wa White.

La msingi kabisa kabisa kabisa katika biashara ya usajili hua ni timu inayouza mchezaji inamchukulia huyo mchezaji ana thamani gani. Varane wa miaka 3 nyuma ungemfuata Madrid anakufungia vioo. Madrid kwa sasa hana shida na Varane ndiyo maana hata hajapambana.

Ila White Brighton wanamuona ni prospect hivyo hawana haja ya kumuuza. So kwao ni wa thamani ni lazima upande dau.

Varane amesumbuliwa na majeraha ni risk kua na beki wa hivi. Lakini pia anaenda kulipwa karibia paundi 250,000 kwa wiki, hivyo kama kawaida United mmeingia cha kike. Pia tukumbuke, mmetoa Milioni 80 kwa friji ambalo halikua limeshinda chochote na liko bize kutoa maboko.
 
Hii hapa rekodi ya majeraha ya Varane
IMG_20210727_065257.jpg
 
Willock kwa bei ya chini huku unaset kipengele ukimtaka bei iwe hii...

Toa elneny,kolaseneac, leta odegaard na aour
 
Ngoja tuone Varane na White nani atashine, mimi kama Arsenal fan naona White kama CB afananishwe na van dijk tu hapo EPL.
Miaka 3 nyuma Varane alikua ana pace ya hatari. Kitu ambacho ni kigumu kwa CB, yaani kwa pace yake angeweza kumtrack Saka au Salah na kumfikia.

Baada ya majeruhi pace imeshuka na amekua ana makosa ya hapa na pale. Kwenye Euro tumeona namna amefanya makosa katika mechi angalau tatu.

Kumuweka eneo moja na Maguire ni kamari. Inaweza ikalipa ama la, ingawa miaka 28 kwa CB siyo tatizo sana ila White ana faida leo mpaka miaka 5 mbele. White ni mzuri kwa mipira ya mbali kitu ambacho CB wa Arsenal aliyekua anakiweza ni Luiz.

White kaja kusaidia mashambulizi.
 
Sure mzee, mtazamo wako kati ya Bruno Guimares na Locatelli...

Binafsi naona Locatelli EPL haiwezi kumshinda ana qualities zote za kuwa top Star hapo Arsenal, ila Guimares is more talented than locatelli tatizo ni kama EpL itamSuit kwa uchezaji wake Kutokana na wachezaji wengi wa America ni kama wanastrugle kuipata form EpL
 
Msimamo wa Locatelli unajulikana, yeye anataka kwenda Juve. Arsenal walipeleka ofa iliyotakiwa mchezaji akagoma, mchezaji wa hivi anaweza kua bad influence kwa wenzake.

Assuming kwamba angekua yupo tayari kuja na options ni mbili kati yake na Bruno ... Kwangu naona Bruno angefaa ingawa wote statistically ni attack minded players.

Kila mmoja anaperform duties ambazo zinadetermine tempo ya game, wote ni long range expert ila Bruno ni mzuri katika passing, ana accuracy nzuri yaani huyu ni Xhaka ila anayejua pasi kama Partey so mi ningekufa na huyu.

Arsenal hatuna bahati mbaya sana ya wachezaji wa Brazil kutudodea ukilinganisha na timu zingine za Uingereza nafikiri hiyo tamaduni itatubeba zaidi na zaidi hata mbele ya huyu Bruno.
 
kweli mzee, the Athletic wanasema kuna U-turn Arsenal wameifanya Xhaka kuextend mkataba.
 
Naona Ben White ametangazwa rasmi. Atavaa jezi #4. Karibu Ben.

1627665405844.png

Sasa kama ulinzi utaimarika, tuongeze nguvu na ubunifu katika viungo na washambuliaji tuongeze magoli na kushinda mechi. COYG!!!
 
Back
Top Bottom