c tulikubaliana tim kubwa n za top4 sasa nafas ya 10 tim kubwa inatokea wap uko kwenye nafas za kina westbromWewe unataka timu gani iwe kubwa?

uyo ni kipepe mwenye nywele2 usijipe moyoDogo anaonekana ana kila sifa ya kuwa best on the pitch, interview yake inaonesha ana good personality, I hope tumepata mfia timu kama Patrick Viera.


Here is how Arsenal could line-up next season if Arteta lands some of his top target talksports.com
Mwaonaje?View attachment 1860328Nadhani nafasi ya Holding atawekwa Gabriel. Kwa Chambers naona Cedric atafaa zaidi. White sijawahi kumuon akicheza.
Sasa bro kumbuka hayo ni majina ya mabingwa wa ulaya na sio unatuletea ety akina pepekale na wahuni wenzake nani anawajua kwenye hii dunia.?Hivi musonda kaanza mazoezi na wakina zouma?
Ulikubaliana na nani?c tulikubaliana tim kubwa n za top4 sasa nafas ya 10 tim kubwa inatokea wap uko kwenye nafas za kina westbrom![]()
Mbona nimeuliza kama wameanza mazoezi sijaulizia majinaSasa bro kumbuka hayo ni majina ya mabingwa wa ulaya na sio unatuletea ety akina pepekale na wahuni wenzake nani anawajua kwenye hii dunia.?
Siwez kukupa siri za kambi ya mabingwa wa ulayaMbona nimeuliza kama wameanza mazoezi sijaulizia majina
Kambi?😅😅😅Siwez kukupa siri za kambi ya mabingwa wa ulaya
Ndo hvy boss,Kambi?😅😅😅
Ulikubaliana na nani?
nmesahau kumbe walokua top6 tulikua tuna kikao chetu tofaut na nyie na kina norwich samahanSure, kitu kizuri Arsenal wamesema wanataka Mchezaji anayefeel happy kucheza Arsenal, nafikiri hawatopush tena hili deal.Locateli bodi iachane naye.
Yeye anataka kwenda Juve.
Sassuolo wameweka ada wanayotaka, Juve wamepeleka ada pungufu Arsenal wametoa kiasi kinachotakiwa, ila mchezaji bado akili ipo Juve.
Mchezaji wa hivi anakuja kua kama tevez alipokua united au courtois chelsea na bwana Balotelli alipokua city.
Huyu ni wa kutemana naye.
Sure, kwangu bora umpange Balogun kuliko Abraham hana maajabu.Abraham aje Arsenal?
Kama uko tayari kumpa nafasi Abraham kwanini usiwape nafasi Nketiah na Balogun?
Nyuma kwakweli hatuko vibaya kama hapo katikati lakini kwa kuwa david luiz kaondoka ni vizuri tukaongeza CB mwingine na hapo ndipo suala la kuongeza mtu makini linapokuja. Mimi naamin Ben white atatusaidia sana. Eneo la kati ni la muhimu zaidi ila nashangaa wananunua wachezaji wa paund m20. Hapa kati ndio panatakiwa kumwaga pesa ya maana ili kupata DM mmoja wa maana na namba 10 mmoja kariba ya akina maddison. Kule mbele.. Kiukweli tungepata watu wawili hapo kati wa angalau paund m50 hata huyo ben white asingekuwa wa muhimu kihivyo.. Kwa vile inasemekan msimu huu kocha kapew mzigo wa maana kwa ajili ya kusajili pengine ana fedha za kutosha kuimarisha hapo kati.Ila mimi naamini tuna ukuta mzuri bado. Hakuna haja ya panic buy kwa White ilibidi tutafute RB nahisi akili ya management ni Chambers kua RB.
Pia nafikiri Bellerin na Soares bado wapo hivyo hawaoni umuhimu wa kusajili RB.
Kimbembe bado hatujapata kiungo mshambuliaji. Renato Sanches ni dili poa.
Daah!.. Safi sana!.. Tukimpata maddison tutaanza kutembea huku mabega yapo juu.. Right back hakuna haja ya usajili as long as yup soarez na bellerin kule kushoto yule dogo mpya anatosha sana kumsaidia Tierney..Ben White usiongelee tena, ni deal done, bado medical. Mimi hapo akiongezeka Maddison, siku hiyo nitafanya sherehe
Kama itakuwa hivyo itakuwa poa sana.. Wamlete Maddison na waongeze DM mmoja wa maana kabisaMkuu, Lokonga ni mchezaji wa baadae japo anaweza kupangwa kwenye first team kama atafanya vizuri,
Arsenal walihusishwa na Ruben Neves, pia walituma ofa kwa locatelli, hiyo maana yake nini?... wanatafuta mtu wa kupartner na partey currently ila sio hawa madogo kina Lokonga.
Tena Balogun akiona mipira haiji anaifuata huko huko. There is a reason klabu zaidi ya sita zinamuwaniaSure, kwangu bora umpange Balogun kuliko Abraham hana maajabu.
Arteta akimsajili huyo Abraham nitajua hana nia ya kuchukua ubingwa kabisa!.. Mimi naamini hizi ni rumours tuTena Balogun akiona mipira haiji anaifuata huko huko. There is a reason klabu zaidi ya sita zinamuwania