Abraham hawezi kuja pale.Arteta akimsajili huyo Abraham nitajua hana nia ya kuchukua ubingwa kabisa!.. Mimi naamini hizi ni rumours tu
Juzi nimeona amesema yeye ni shabiki wa Arsenal. To be fair ana finishing nzuri, shida yake ni kwamba hawezi kuoffer kitu tofauti na finishing, ikatokea mmebanwa mipira haiendi mbele na yeye ndiyo haonekani tena.