Chelsea ni timu ndogo yenye uefa, timu kubwa zimebaki kushangaa kombe likiletwa London wanaitikia huoooo kama umeme umerudiUmetoka kusema timu kubwa haisumbuliwi na usajili kwahiyo chelsea timu ndogo?
Hizi jeuri ndiyo maana tukikutana ni vichapo tu.Chelsea ni timu ndogo yenye uefa, timu kubwa zimebaki kushangaa kombe likiletwa London wanaitikia huoooo kama umeme umerudi
Dogo anaonekana ana kila sifa ya kuwa best on the pitch, interview yake inaonesha ana good personality, I hope tumepata mfia timu kama Patrick Viera.Ben White deal limeisha.
Romano anasema sehemu ya mkataba imeshafikiwa bado Ben kurudi kutoka mapumziko kumalizia sehemu iliyobaki.
So Arsenal imespend zaidi ya 70M na inaendelea kuspend lakini sioni kama tuna mpango na enforcer. Lokonga ana stats nzuri ila kumtumainia mchezaji kutoka ligi nyingine aendane na ligi nyingine kwa haraka ni tricky.
EPL ni ligi ngumu sana, kumtumainia Lokonga ni kucheza kamari!.. Dogo ana statis nzuri lakini anaweza akastruggle msimu wake wa kwanza kama pepe!. Kiukweli mimi napenda sana dili la ben white litick japo ni kama tunataka kuuziwa kwa bei kubwa lakini naamini ataperform vizuri sana pale kati. Tukimpata madisson japo bei yake haina uhalisi tutafanya makubwa sana msimu ujaoBen White deal limeisha.
Romano anasema sehemu ya mkataba imeshafikiwa bado Ben kurudi kutoka mapumziko kumalizia sehemu iliyobaki.
So Arsenal imespend zaidi ya 70M na inaendelea kuspend lakini sioni kama tuna mpango na enforcer. Lokonga ana stats nzuri ila kumtumainia mchezaji kutoka ligi nyingine aendane na ligi nyingine kwa haraka ni tricky.
Ila mimi naamini tuna ukuta mzuri bado. Hakuna haja ya panic buy kwa White ilibidi tutafute RB nahisi akili ya management ni Chambers kua RB.EPL ni ligi ngumu sana, kumtumainia Lokonga ni kucheza kamari!.. Dogo ana statis nzuri lakini anaweza akastruggle msimu wake wa kwanza kama pepe!. Kiukweli mimi napenda sana dili la ben white litick japo ni kama tunataka kuuziwa kwa bei kubwa lakini naamini ataperform vizuri sana pale kati. Tukimpata madisson japo bei yake haina uhalisi tutafanya makubwa sana msimu ujao
l
EPL ni ligi ngumu sana, kumtumainia Lokonga ni kucheza kamari!.. Dogo ana statis nzuri lakini anaweza akastruggle msimu wake wa kwanza kama pepe!. Kiukweli mimi napenda sana dili la ben white litick japo ni kama tunataka kuuziwa kwa bei kubwa lakini naamini ataperform vizuri sana pale kati. Tukimpata madisson japo bei yake haina uhalisi tutafanya makubwa sana msimu ujao
l
Ila mimi naamini tuna ukuta mzuri bado. Hakuna haja ya panic buy kwa White ilibidi tutafute RB nahisi akili ya management ni Chambers kua RB.
Pia nafikiri Bellerin na Soares bado wapo hivyo hawaoni umuhimu wa kusajili RB.
Kimbembe bado hatujapata kiungo mshambuliaji. Renato Sanches ni dili poa.
Haya msimu ujao ndo nitapochoka na Asernal yaani, tangu 2015 tunasema msimu ujao... 😇😇EPL ni ligi ngumu sana, kumtumainia Lokonga ni kucheza kamari!.. Dogo ana statis nzuri lakini anaweza akastruggle msimu wake wa kwanza kama pepe!. Kiukweli mimi napenda sana dili la ben white litick japo ni kama tunataka kuuziwa kwa bei kubwa lakini naamini ataperform vizuri sana pale kati. Tukimpata madisson japo bei yake haina uhalisi tutafanya makubwa sana msimu ujao
l
Mkuu, Lokonga ni mchezaji wa baadae japo anaweza kupangwa kwenye first team kama atafanya vizuri,EPL ni ligi ngumu sana, kumtumainia Lokonga ni kucheza kamari!.. Dogo ana statis nzuri lakini anaweza akastruggle msimu wake wa kwanza kama pepe!. Kiukweli mimi napenda sana dili la ben white litick japo ni kama tunataka kuuziwa kwa bei kubwa lakini naamini ataperform vizuri sana pale kati. Tukimpata madisson japo bei yake haina uhalisi tutafanya makubwa sana msimu ujao
l
Baada ya kichapo mpo top 4 😁😁😁Hizi jeuri ndiyo maana tukikutana ni vichapo tu.
Sisi raha yetu ni kugawa kipigo kwa chelsea na united hata tushuke daraje hatuna nenoBaada ya kichapo mpo top 4 😁😁😁
Locateli bodi iachane naye.Mkuu, Lokonga ni mchezaji wa baadae japo anaweza kupangwa kwenye first team kama atafanya vizuri,
Arsenal walihusishwa na Ruben Neves, pia walituma ofa kwa locatelli, hiyo maana yake nini?... wanatafuta mtu wa kupartner na partey currently ila sio hawa madogo kina Lokonga.
Abraham aje Arsenal?Here is how Arsenal could line-up next season if Arteta lands some of his top target talksports.com
Mwaonaje?View attachment 1860328
Hivi musonda kaanza mazoezi na wakina zouma?😂😂😂 Wachezaji wa Arsenal bhana 😂😂😂 ety Lokonga
Yani jina tuu unaona kabisa hapa hatuna mchezaji Yan tumepigwa jumla