OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,931
- 25,245
Eti hii timu nayo inashindwa usajili na Aston villa dah!!Shabiki wa chelsea nimemaliza kusoma comments zenu za kulia-lia kuhusu usajili,
ifike mahali bingwa wa Ulaya awe na kipengele cha kupendekeza timu ya kushuka daraja kwa lazima na mimi nngependekeza arsenal ishuke daraja.
London is blue 💙💙💙



