Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Screenshot_20210628-185419_Goal News.jpg

Eti tunamtaka left back. Huku tuna Tierney, soares na formation yetu pendwa ni 3-4-3 ambayo sometimes huhitaji full back left at all
 
kuna taarifa zinazodai mtamuuza Xhaka kwenda As Roma....ndugu zangu namuangalia Xhaka hapa naona mnapoteza mmoja kati ya wapambanaji na wachezaji wenye kujitoa......
Nimejilazimisha sana kukubaliana kimawazo na Arsenal kumuuza Xhaka lakini sioni hata midfielder mmoja tunayehusishwa nae anaweza kuichezesha timu kama Xhaka, zaidi ya ujinga mtupu kuamini Xhaka ndio tatizo Arsenal na wakati huwa akikosa mechi unaona kabisa midfield haina vision na determination. Labda nawahi sana kumuhukumu Arteta lakini msimu uliopita umenifanya kutokuwa na Imani kabisa na huyu kocha. Si kwamba Arsenal imemaliza nafasi ya chini sana lakini hata namna Mpira tuliokuwa tunacheza ni hovyo sana. Hatuna wachezaji wazuri sana lakini si haba kutokucheza Mpira mzuri.
 
Kuna kazi kubwa sana ya kufanyika aiseh.....timu kama haina wachezaji bora sana, huwa inahitaji wachezaji wenye kujitoa sana, na Xhaka ni mmoja wapo hata yule Toreira niliona anajitoa sana na Guendouzi ila kuwahsikilia wachezaji ambao hawana hata fighting spirit ni shida.
Nimejilazimisha sana kukubaliana kimawazo na Arsenal kumuuza Xhaka lakini sioni hata midfielder mmoja tunayehusishwa nae anaweza kuichezesha timu kama Xhaka, zaidi ya ujinga mtupu kuamini Xhaka ndio tatizo Arsenal na wakati huwa akikosa mechi unaona kabisa midfield haina vision na determination. Labda nawahi sana kumuhukumu Arteta lakini msimu uliopita umenifanya kutokuwa na Imani kabisa na huyu kocha. Si kwamba Arsenal imemaliza nafasi ya chini sana lakini hata namna Mpira tuliokuwa tunacheza ni hovyo sana. Hatuna wachezaji wazuri sana lakini si haba kutokucheza Mpira mzuri.
 
Nimejilazimisha sana kukubaliana kimawazo na Arsenal kumuuza Xhaka lakini sioni hata midfielder mmoja tunayehusishwa nae anaweza kuichezesha timu kama Xhaka, zaidi ya ujinga mtupu kuamini Xhaka ndio tatizo Arsenal na wakati huwa akikosa mechi unaona kabisa midfield haina vision na determination. Labda nawahi sana kumuhukumu Arteta lakini msimu uliopita umenifanya kutokuwa na Imani kabisa na huyu kocha. Si kwamba Arsenal imemaliza nafasi ya chini sana lakini hata namna Mpira tuliokuwa tunacheza ni hovyo sana. Hatuna wachezaji wazuri sana lakini si haba kutokucheza Mpira mzuri.
Mkuu sio labda unawahi kumlaumu Arteta. Actually unachelewa sana kumshushia malawama huyu jamaa na Edu wake.

Baada tu ya kuja Edu na muhuni mwenzie Raul ameondoka, Huss Fahmy ameondoka na Mislitant ameondoka hujiulizi tu???
 
Just Imagine.

That means hatuna timu kaka
Niliangalia ratiba kwa Sofascore nikakuta Brentford vs Arsenal na Arsenal inaonyesha imepewa odds 2+

Odds 2+ dhidi ya timu iliyopanda daraja.

Simply kikiangaliwa kikosi cha Arsenal na Brentford haionekani tofauti kubwa zaidi ya Arsenal kua kwenye EPL kwa muda mkubwa.

Bila mabadiliko ya lazima tutakutana nao second round huku Arsenal ana odds 3+ na Brentford 1.

Timu inashindwa kumbakisha Emile na hapo Emile anasema anatamani amalize maisha ya mpira Arsenal isingewezekana kwa Xhaka anayetaka kuondoka. Wolves wakimuuza Rui tusishangae wakamfuata Leno na Leno akakubali kuondoka.
 
Back
Top Bottom