Na nyinyi hampokei interns?
Na nyinyi hampokei interns?
Nimeku-PMYea naweza. Via email au?
Timu yetu haina mipango ya kuchukua Ubingwa wala kuingia Top4, nilidhani bora timu ingewekwa sokoni tu wenye hela waichukue kuliko kuendelea kuwa na mmiliki bahili kama wetu au wangesema tuanze kuichangia na ibaki mikononi mwa mashabiki tu.Buendia ameishauzwa Aston Villa kwa Paundi 33m pls add-ons. Sisi bado tunatafuta rejects.
Njo Singapore Kuna kazi nyingi.Na nyinyi hampokei interns?
Nauli inagombaNjo Singapore Kuna kazi nyingi.

Matajiri wa Aston Villa wana hela. Sio lazima wamuuze Grealish ili wanunue, mchezaji.Kaka Grealish hawezi kuja Arsenal. Unajua hela ya Buendia villa wametoa wapi?? Kwenye mauzo ya Grealish. Grealish kashauzwa kwa timu zinazojielewa kaka