Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Buendio this Buendia That. French Ceballos to Emirates.
E3ImfS9WUAII1RU.jpg
 
Nyie ni takataka tu, kwahiyo mmeshidwa kweli kuongeza 2 angalau zifike 35 mchukue hicho kifaa. Poor ase8
Inst-image-15.jpeg
 
Acha tu, huyu kifaa anatakiwa pale ASAP...
Mbona kam ni tusi alichoandika uliyemquote? Tutatoa pes ndefu lakini hii ni sawa na huduma ya Ceballos.

Aouar aliringa msimu uliopita. Kisha kiwngo chake kikawa cha hovyo.

Grealish overpriced na umri umesogea.

Option njema kwetu ilikua Buendia tu.
 
Buendia ameishauzwa Aston Villa kwa Paundi 33m pls add-ons. Sisi bado tunatafuta rejects.
 
Mimi siungi mkono ujio wa Grealish Arsenal
Mimi namkubali aise , ht kule england kacheza vizuri sn na Bukayo, kwangu ni mchezaji mzuri
unajua Arsenal ukiingalia kwa jicho la tatu unaona tunahitaji wachezaji km yeye washindi, kama itatokea Pepe, Grealish na Saka itakuwa fire
Tatizo pesa, unakuta tunaletewa viungo wa ajabu
 
Mi naona timu za North London zimelogwa.

Jirani Tottenham kaachana na kumuajiri Conte kwakua Conte kasema anataka kuhakikisha wanashinda trophy yoyote 'as soon as possible'

Anyway, labda wanafanya siri na dirisha likifunguliwa ndiyo itakua wazi zaidi.
Mipango tu mibovu kaka
 
Mimi namkubali aise , ht kule england kacheza vizuri sn na Bukayo, kwangu ni mchezaji mzuri
unajua Arsenal ukiingalia kwa jicho la tatu unaona tunahitaji wachezaji km yeye washindi, kama itatokea Pepe, Grealish na Saka itakuwa fire
Tatizo pesa, unakuta tunaletewa viungo wa ajabu
Nipo na wewe aiseee
 
Tatizo pesa kwamba Arsenal haina pesa au pesa mmiliki hana pesa?

Mmiliki kashasema hataki makombe. Mwanae akasema hawawezi tumia pesa nyingi kwakua long term model ya biashara ya mpira ni unstable so mfano wana mpango wa kutumia 200M za usajili wao wanataka hii 200M itumike kwa miaka 10.

Yaani Arsenal imemfuata Buendia msimu uliopita ikagewa quotation ikaondoka, nikajua wanamsajili dirisha dogo, ikapita, nikajua dirisha kubwa, imekua komedi. Ila ripoti zinasema Arsenal alipeleka ofa ya 30M ikakataliwa akapeleka ya 40M katikati ya madai ya ofa ya 40M ripoti zinakuja kwamba Buendia kauzwa Villa kwa 30M.

Tukumbuke kwamba Buendia na Martinez wanashare wakala na wote ni waArgentina. Coincidence?
 
Back
Top Bottom