Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Chelsea tutakuwa nao Alhamisi kwenye futuhi
Ni kweli hata mimi naamini hivyo.Team Golden state Warriors ,msimu huu nafasi ya ChampionsLeague ilikuwa ya Arsenal kabisa
Kwani Play off ya kwenda futuhi ndiyo hii Europa conference?Chelsea tutakuwa nao Alhamisi kwenye futuhi
Kwani Play off ya kwenda futuhi ndiyo hii Europa conference?
Games zinaenda kama nilivyotabiri.Spurs wamechomoa, Chelsea wamerudi top 4
Games zinaenda kama nilivyotabiri.
Nipo kwenye maombi
Spurs anaongozaHitting the post twice Leicester na City wametutendea haki
Kwa wenye akili ya Mpira acha tuendelee kupata upepo wa Beach na Heineken ya baridi presha za nini kwa timu mbovu kama ya Arsenal Nlisema kuangalia EPL leo ukitumaini Arsenal atakuwa kwenye Michuano ya Akili inahitaji uwe Kichaa fulani hivi(sorry for this) na baada ya dk 90 Mmejionea wenyewe AlamsikiWatu mna moyo migumu bado mnafuatilia mpira wa Arsenal?nawapa taadhari msije kupata ugonjwa wa moyo after 90 Minutes!nipo na Mke wangu mtarajiwa tunapata upepo mwanana Beach
sitaki matatizo ya kiafya sababu ya Arsenal tutajulishana mpira ukiisha results zitakazopatikana
Hizi mechi nlizozitaja ndio limekuwa kaburi la Arsenal this season bye bye Michuano ya UlayaI like to watch movies Mkubwa ,naipenda sana Arsenal but angalia msimu unavyoisha kuna mechi tulipoteza kisenge* mfano game ya Everton, Wolverhampton away, Burnley home, Draw na Fulham, tungepata point 3 hizo mechi,leo tungekuwa tunaongelea Conference league kweli?
Yaani hadi viti maalum mmekosa dah poleniNasikia uefa wameanzisha mashindano ya viti maalum pambaneni muwe wa 7 muingie viti maalum
A season outside Europe is a blessing in disguise for this Arsenal side that is set to undergo a major rebuild this summer. The conference league is a total waste of our time. Zero prestige attached to winning it. No thanks, let's focus on the league and fight well for top 4.EUROPA haziendi timu wachezaji wanaoliwa tigo
Spurs wanaenda kwenye yale mashindano ya viti maalumSPURZZZZZZZ...ARSENAL OUT OF EVERYTHING
View attachment 1795449
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app