Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Watu mna moyo migumu bado mnafuatilia mpira wa Arsenal?[emoji3][emoji3][emoji3] nawapa taadhari msije kupata ugonjwa wa moyo after 90 Minutes!nipo na Mke wangu mtarajiwa tunapata upepo mwanana Beach [emoji950]sitaki matatizo ya kiafya sababu ya Arsenal tutajulishana mpira ukiisha results zitakazopatikana
 
Ukiachilia mpira unafuatilia mchezo gani mwingine?
 
How is that our business?
 
😀😀😀😀 mechi ya mwisho hii haina madhara. Hata ikiwa hatujaingia europe, ni hali watu wameshakubali.
 
Ukiachilia mpira unafuatilia mchezo gani mwingine?
I like to watch movies Mkubwa ,naipenda sana Arsenal but angalia msimu unavyoisha kuna mechi tulipoteza kisenge* mfano game ya Everton, Wolverhampton away, Burnley home, Draw na Fulham, tungepata point 3 hizo mechi,leo tungekuwa tunaongelea Conference league kweli?
 
No. So mchezo unaoupenda ni mpira pekee as movies siyo mchezo au siyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom