computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
Nilijua kuna watu watapotea humu after 90 Minutes [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli umekaa unategemea Arsenal atacheza michuano ya ulaya next season [emoji23][emoji23][emoji23] anyway siioni Arsenal kuwa competitive team next season bado siioni na sioni kama Kroenke ataweka hela yake ya usajli msimu uliopita tulikuwa wa 8 tukaenda Europa kibahati ,now tumekuwa wa 8 hatutacheza europa wala champions league next season, no improvement kwa misimu 2 iliyopita na ujao utakuwa hivi hivi otherwise ni kuhama timu au kupumzika kuangalia Arsenal akicheza kama Mimi binafsi nlivyoamua but napata results kwenye livescore