Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Angalia sub za Arteta, still dumping cedric
Hahaha naona unajikataa na kujikubaliHilo la tatu ndio goli la ufundi
Huyu Pepe tumfanyaje?
nilishakata tamaa, walirudi kwa nguvu kubwaHahaha naona unajikataa na kujikubali
Nasikia uefa wameanzisha mashindano ya viti maalum pambaneni muwe wa 7 muingie viti maalum

Utani wa ngumi huuTumpike supuHuyu Pepe tumfanyaje?
Kaka umerudi? Karibu sanaTumpike supu
Nasikia uefa wameanzisha mashindano ya viti maalum pambaneni muwe wa 7 muingie viti maalum
Dogo bora abaki Newcastle arsenal atasugua sanaWillock anafunga game ya sita mfululizo na mechi ikiisha anakua kaipa ushindi New Castle hata hivyo sina imani naye in fact kama anaweza kubaki pale abaki ili apate game time bila majukumu yatakayomkosesha amani.