Hichi kibonde chetu inawezekana kesho kikafurukuta maana kipo kwenye run nzuri sasa ili kukomeshana nashauri tuumize angalau wachezaji wao 6 ili wasichukue UEFA.
Maana dah... Anyway, seriously hizi mechi zilizobaki hazina maana kwa Arsenal hii ni kwakua zinahitaji uziombee timu zaidi ya 5 zilizo juu yako zipoteze mechi zilizobaki which will be weird.
That shit happens na bodi lazima itakagua kuona kama kuna upangaji matokeo.
Timu imeshindwa kuturn up muda ambao tulihitaji haswa matokeo. Members nikawa nawaambia ni ngumu kushinda kama timu haina watu wenye akili ya kwenda mbele. Zamani ilikua Rosicky au Cazorla akiunasa mpira waliobaki wenyewe wanajitanguliza mbele kwakua wanajua huyu mtu hapa hasimami analifuata box la mpinzani.
Sasa hivi hakuna mchezaji mwenye akili hiyo Guendouzi anajaribu kua hivyo lakini kuna vitu hana na hua navisema kila siku. Sasa hivi mid nzima ni pasi chini na pembeni sasa chelsea wana speed na wanafanya fluid movement kwahiyo hizo pasi za chini kwa kipa na za pembeni zitanaswa sana.
Ila tungekua na wachezaji watatu wenye uwezo wa kusonga mbele huku wanafanya one two ingekua mechi haifikirishi kwakua wao wanacheza 3 4 1 2 so thru balls na kaunta zingewamaliza.
Now kama Arteta anaweza watrain wachezaji hicho kitu leo wakakimaster kwa ajili ya kesho itakua sawa sana